Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

inaweza kusaidia kwa kiasi fulani, kinachotokea ni kwamba ukinywa majivu unaongeza alkalinity/acidity kwenye mwili ambayo ikizidi inaua manii, so no mimba
 
Sina uhakika saaana kwa vile sijawahi ijaribu ila wengi huwa wanasema ni njia nzuri!
 
Thank you madam.wewe umeitumia kwa mda gani?yani toka uanze kuitumia una mda gani?
 
Big up lady Kwa kuleta mada nzuri yenye Kuielimisha jamii kupambana na Chang a moto Zach kubeba mimba zisizo na mipango.
 
YOU gonna kill some innocent pippo !!! mada yako inahatarisha maisha na afya za wanaadamu "ukiua mmoja kamaa uliyeua umati" (majivu huwa yana mchanganyiko wa sumu kutokana na mchanganyiko wa miti na mizizi) Tuchukuwe taadhari Sweetheart naja huania mbaya weewataka rahisisha LAKINI mmmh!!
 
Last edited by a moderator:
Ikimbie zinaa.... hapa kuna watu umewapunguzia gharama za maovu!!!!
 
YOU gonna kill some innocent pippo !!! mada yako inahatarisha maisha na afya za wanaadamu "ukiua mmoja kamaa uliyeua umati" (majivu huwa yana mchanganyiko wa sumu kutokana na mchanganyiko wa miti na mizizi) Tuchukuwe taadhari Sweetheart naja huania mbaya weewataka rahisisha LAKINI mmmh!!

Wewe unasema miti inasumu je na dawa na sindano za hospital je??
 
Last edited by a moderator:
Asante cn mumy ila sijafaham unatumia kila cku kwa sababu mi natumia vijit lkn naona madhara Makubwa na sijapata mbadala wa kinga
 
Asante cn mumy ila sijafaham unatumia kila cku kwa sababu mi natumia vijit lkn naona madhara Makubwa na sijapata mbadala wa kinga

Njia nzuri hyo kuliko njiti inayoleta matatizo Kuna watu wengi wanatumia hawajadhurika.
 
Back
Top Bottom