Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni njia natumia siku zote za maisha yangu!! alinifunza mamangu!
asante kuwaelimisha na wengine pia
ni njia natumia siku zote za maisha yangu!! alinifunza mamangu!
asante kuwaelimisha na wengine pia
Haaa we mkuu na Inkhubu mnajichekesha sana kwa maswali yenu bana, ila siwashangai sana pengine biology hamkusoma ndo maana.
Umeeleza vizuri kuwa sindano inaingia moja kwa moja kwenye damu. Sasa napenda ujue kuanzia leo kuwa CHO CHOTE UNACHOKULA AU KUNYWA kinaingia damuni vilevile, sema tu kitachelewa kuingia ukilinganisha na sindano lakini mwisho wa siku kitaingia vilevile.
Sperm sitakufa tu zikiwa kwenye external environment, vilevile yai la mwanamke litakufa tu likiwa kwenye external environment. Kwa mwanaume external environment ni sehemu yo yote nje ya korodani, yaani kule sperm zinakoenda akisha ejaculate, whether ni papuchini, tigoni, kichwani, ndani ya boxer ndotoni n.k kote huko ni external environment. So zikikutana na high acidity au alkalinity huko ndo zinakufa kabla ya kufanya fertilization. Ndani ya korodani kila kitu ni self-controlled, so haiwezekani kukawa na high acidity au alkalinity. Nadhani hapa sasa nimejibu swali kwanini mwanaume atakiwi kunywa hayo majibu, kwa maana nyingine hata akinywa hayatauua sperm so itakuwa ni kazi bure
Kwa mwanamke external environment ni pale yai linapoelekea baada ya ovulation, yaani likishatoka kwenye vile vifuko vyake (follicles), linaenda kwenye mfuko wa uzazi (uterus), follopian tubes etc kote huko ni external environment. Kwa hiyo nalo likifika huko likatutana na high acidity or alkalinity nalo litakufa vilevile kabla ya kuwa fertilized. Kama ilivyo kwenye korodani, kwenye follicles nako kila kitu kiko self-controlled, so huwezi kuua yai likiwa huko. Njia rahisi ya kuliua ni kusubiri litoke huko kwenye hifadhi yake.
Kwahiyo sasa mwanamke anapokunywa hayo majivu ana disturb externa environment ya yai lake, vile vile anadisturb external environment ya sperm kwa maana ya papuchini. Kuna kuwa na high acidity or high alkalinity (natumia conditions zote mbili coz sina uhakika ipi inapanga kwa kunywa majivu). So yai lake na sperm za mwanaume vitakaingia hilo eneo la mwanamke (external environment ambayo sasa ni too acidity/alkalinity) zitakufa before fertilization. Again nikiri kuwa sina uhakika kama zote zitakufa au ni sperm za mwanaume au yai la mwanamke tu ndo litakufa, sina uhakika, ila muhimu hapa ni kwamba fertilization will not occur.
Kama hujaelewa sasa, njoo nikupe tution maalumu, ila tanguliza M-pesa, tigopesa au airtelmoney kwanza ya laki 2 tu
Hapana nyonyo kuitumia moja ni baada ya mwaka but majivu unatumia pale unapoenda kukutana na mtu yaan wakat wa tendo
Mwanamke anapokuwa kwenye period, anameza mbegu moja ya nyonyo. Baada ya hapo kujisevia bwerere... Ila kila wakati wa MP lazima ameze.... ILA SIJUI inachukuwa muda gani mwanamke akiacha kutumia nyonyo hadi kupata mimba pindi anapoamua kubeba ujauzitoIvi nyonyo inatumikaje? Dadavua kiundani kiongoz maana wengine kwetu zipo sana bt hatujui jinc ya kuzitumia .. natanguliza shukrani
Mwanamke anapokuwa kwenye period, anameza mbegu moja ya nyonyo. Baada ya hapo kujisevia bwerere... Ila kila wakati wa MP lazima ameze.... ILA SIJUI inachukuwa muda gani mwanamke akiacha kutumia nyonyo hadi kupata mimba pindi anapoamua kubeba ujauzito
Wala hawawezi kuharibika mbona mimi hayajaniharibikia na pia mbona hakuna rafik yangu aliyeharibikiwa
Sweetheart
jana wife nilimuanzishia dozi, akaanza kunywa.
Sasa cha ajabu leo tena, nimemkuta na glass sebuleni tena kaongeza kipimo kabisa cha maji anabugia. Naona ana kanyege flani kweli leo. Vipi hii biashara ya glass kila siku haitakuja leta madhara
Mada kama hizi zitawapoteza wengi sana. Sijui ni kwanini mtu unaamua kupotosha wenzio, lazima ujue kuwa humu kuna watoto wadogo wasiojua kuchanganya na za kwao.
Mada kama hizi zitawapoteza wengi sana. Sijui ni kwanini mtu unaamua kupotosha wenzio, lazima ujue kuwa humu kuna watoto wadogo wasiojua kuchanganya na za kwao.
Habari zenu wana mmu....
Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....
Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...
Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......
Cc Bulldog