Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Habari zenu wana mmu....

Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....

Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...

Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......

Cc Bulldog

Dunia hadaa walimwengu shujaa
 
Last edited by a moderator:
mimi najua majivu kama dawa ya kuondoa maumivu ya tumbo la hedhi Sweetheart
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana mmu....

Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....

Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...

Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......

Cc Bulldog

Hivi njia hii inaweza ikatumika sambamba na ya nyonyo?
 
Last edited by a moderator:
Aaaah mkuu kwani sindano na vijiti vinaingia kwenye mfumo wa uzazi moja kwa moja? naona kwako italeta sense zaidi kama majivu yatasokomezwa huko kwa K eeh!!

Mkuu kwanza nikiri umenichekesha sana...sure, nimecheka sana na hii comment yako.
Back to topic: mimi nilichohitaji ni connection iliyopo. Kesi ya sindano ni tofauti kwa sababu inaingia moja kwa moja kwenye damu compared to majivu. Na kama issue ni kufanya mwili wa mwanamke uwe na acidity kubwa ili mimba isitunge, sasa ni kwa nini basi asinywe mwanamume one hour before ili mwili uwe high in acidity na sperm zisiwe na uwezo wa kufertilize ovum.?
 
hata unywe supu ya panya mungu akipanga lake litakua tu mnajihangaisha tu na watoto ni neema kubwa kuna wengine wamezuiwa kuzaa na wanatamani so walioruhusiwa kuzaa wataulizwa kwanini nilikupa uwezo wa kuzaa hlf ukaniona mm mjinga ww ndo mwerevu?oh maisha magumu naogopea mtoto nishindwe kumlea ataulizwa kwani wewe ndie mtoaji riziki?kimyaa!!

Hayo mawazo yangekuwa bora kipindi kileee...mbuga zimejaa, watu wanalima wanavyotaka...msosi ni kukusanya mizizi na matunda umemaliza...kila baada ya hatua kumi unakutana na digidigi unawinda na kupata nyama...shule ni kwa ngariba na wafundali...taarifa mnaipata kwa mwenyekiti wa kijiji...that way yangekuwa mawazo mazuri..lakini kwa kipindi hiki ada ya nursery million mbili ndugu unawaongopea watu

Na let me tell you about Mwenyezi Mungu...Mungu ni Mungu wa planning, na alitupa akili vichwani ili tuzitumie kuboresha mazingira yetu na kuyafanya maisha yawe bearable

Sasa kama Mungu anakupa akili na unashindwa ku-plan..naamini swali utakaloulizwa kwa kuleta viumbe duniani ni kwa nini ukazalisha watoto waje kupata dhiki? Hukujua kama watahitaji all the necessities?

Ukijiachia kila bao likazalisha mtoto unadhani si tutagombania hewa hapa duniani? Its like anazaliwa mtoto then next month mama kitumbo hichoooo! Do you really think Mungu ndivyo anavyotaka?

Ni kweli Mungu akiamua mimba itaingia tu..hapo itakuwa kwa kadri ya plan zake na ndio maana nikakwambia Mungu ni Mungu wa planning. He plans everything beforehand...otherwise do your best and God will do the rest..finish
 
Big up lady Kwa kuleta mada nzuri yenye Kuielimisha jamii kupambana na Chang a moto Zach kubeba mimba zisizo na mipango.

mkuu unaposema mimba zisizo na mipango napata wasiwasi pia kama watu huwa wanawaza HIV, sema ndoivo tena siku izi mimba ni hatari na zinaogopwa kuliko huo ugonjwa.
 
Leo ndio nimefahamu kwanini somo la biolijia ni la LAZIMA kwa wanafunzi wa kidato cha I hadi IV,
 
mimi demu wangu aliacha vidonge akatumia majivu. siku nimemdunga kati tu. ngoma ikamea eacha alie na majivu eti yamemponza.
 
Haviwekwi kwa papuchi mkuu inawekwa mkononi kwa juu karibia na alama ya sindano ya ndui viko ka plastic unafanyiwa operation ndogo ka unataka three years wanaweka vitatu one year madhara yake ni hatari, kuumwa kichwa, mimba kutungwa hafu na kuharibika kizungu zungu, Kansa, pia vinatabia ya kuzidi kuingia ndani kwa kupitia mshipa hadi karibia na moyo ni hatari Sana mkuu.

Tafadhali kama hujui jambo usilieleze kwa kupotosha. Kukaa kimya na kusoma ya wengine nayo ni hekima pia
 
Tafadhali kama hujui jambo usilieleze kwa kupotosha. Kukaa kimya na kusoma ya wengine nayo ni hekima pia

Ni kipi ambacho amekosea unachojua usahihi wake kiasi kukupa uhalali wa kuzodoa bandiko lake?

Ukiweka usahihi wa post yake kwa kile alichokosea utakuwa unaeetendea vema washiriki wa mjadala huu
 
Tafadhali kama hujui jambo usilieleze kwa kupotosha. Kukaa kimya na kusoma ya wengine nayo ni hekima pia

Sasa wewe si ueleze unachojua kwa usahihi asilimia zote nimeandika ninachojua na nilichoshihudia na siko hapa kudaganya naongea kwa experience ndo mana ikawa forum kila mtu katoa mawazo yake kimbele front tu haya elezea huo ukweli wako.
 
Ni kipi ambacho amekosea unachojua usahihi wake kiasi kukupa uhalali wa kuzodoa bandiko lake?

Ukiweka usahihi wa post yake kwa kile alichokosea utakuwa unaeetendea vema washiriki wa mjadala huu

Bora hata we umeliona Hilo mkuu badala ya kuelezea kiundani kitu akijuacho ana paniki sijui Kala maharage ya wapi ana bwabwaja badala ya kuelezea kiundani huu ni mjadala huru na mtu Ana comment akijuacho.
 
Waooooooohhhh this is amaizing...! Asante sana wacha ntafute kwa majirani jiko la mkaa lenye majivu..? Huuuuhh nlikuwa nshaanza kuwaza ntaanzaje kulea mimba ya mwasi flani hivi

Umeambiwa jinsi ya kuzuia. Wewe si ishaingia huwezi kuizuia tena. Lea hiyo hiyo ila ijayo usisaau.
 
Back
Top Bottom