Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Habari zenu wana mmu....

Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....

Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...

Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......

Cc Bulldog

Kweli elimu siyo kumeza madesa tu. Nina swali hapo uliposema unakunywa lisaa limoja kabla au baada ya tendo. Sasa kama napiga hilo tendo mara tatu kwa usiku mmoja ktk interval ya masaa matatu, kwa hiyo kila nikitaka kupanda lazima mama apige hiyo glass ya juice jivu kwanza kabla sijapanda??
 
Last edited by a moderator:
Yaani ukiweza jaza hata mfuko kozi ni mazuri na hayana madhara nmekua nikitumia kwa mwaka wa pili sasa na pia kuna jiran yangu mmoja alikua akipata sana mimba tokea nmemshaur yamemsaidia sana tena sanaa

umejuaje hayana madhara wakati ni mwaka wa pili tu?
 
Vijiti???
Bora hata ukatafute mbegu za minyonyo kule kijijini. Hiyo kitu ikibuma ndugu yangu utasikiliziia mziki wake

Avemaria: Naona una elimu nyingine ya mbegu ya minyonyo, ebu dadavua kidogo kuhusu hizo mbegu.
 
Kweli elimu siyo kumeza madesa tu. Nina swali hapo uliposema unakunywa lisaa limoja kabla au baada ya tendo. Sasa kama napiga hilo tendo mara tatu kwa usiku mmoja ktk interval ya masaa matatu, kwa hiyo kila nikitaka kupanda lazima mama apige hiyo glass ya juice jivu kwanza kabla sijapanda??

Amna hata ukipanda mara sita ileile grass moja aliyokunywa mwanzo inafanya kazi
 
Mbegu za nyonyo ndo zinatumiwaje na zinapatikana kwa wingi wapi maana haya madawa ya hospital ni janga kwa wanawake wengi.

Hiyo imekaa kitaalam sana na zinapatikana kwa kwa wataalam wa tiba asilia , peke yako huwezi. Thats why yule anaefunga vijiti tokana na muda asiopenda kuzaa, nilisuggest ni bora akaenda tu bush akapewa hizo mbegu za minyonyo maana na zenyewe hutumiwa tokana na muda.....for how long a person anataka kukaa bila kuzaa like miaka 1,2 au tatu.

Lakini pia nasikia kuna baadhi ya wamama wakimasai nao huwa wana dawa yao ya asili ila siijui ni ipi kama mtu yupo karibu nao anaweza kuwaconsult.

Yaani kuliko kutoa mimba au kuzaa mtoto ilhali mwanamke/dada mwenyewe mambo mvurugano alafu ukaishia kumnyongea kwenye fuko la rambo, ni bora tu kujikinga. Au hata kwa wenye ndoa zile jumamosi na jumapili mmmmh ndo unakuta katoto kamoja afyaless if not wote wanaofuatana.
 
Asante chief, Hapo kaongelea upande mmoja tu wa faida, sasa upande wa hasara (side effect) kapita kando.
Mfano mimi mwenyewe natumia majivu kusafishia meno (siyo mkaa) lakini siyo kila siku, maana kuna madhara ya acid furani.

inaweza kusaidia kwa kiasi fulani, kinachotokea ni kwamba ukinywa majivu unaongeza alkalinity/acidity kwenye mwili ambayo ikizidi inaua manii, so no mimba
 
Habari zenu wana mmu....

Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....

Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...

Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......

Cc Bulldog

Swali langu, majivu ya aina gani, na je ktk hayo majivu ni kwa kila kuni ??
 
Last edited by a moderator:
Fragil kiboko yao maana ina folic acid ndani yake inazuia fertilizatio katika mji wa mimba
 
Njia nzuri hyo kuliko njiti inayoleta matatizo Kuna watu wengi wanatumia hawajadhurika.

Sorry sister nimeogopa nilivyoona mtu anatumia vijiti kuzuia mimba hivyo vijiti vinakaa wapi? kwenye K msaada tafadhali!
 
Fragil kiboko yao maana ina folic acid ndani yake inazuia fertilizatio katika mji wa mimba

Fragil kuna wengine inawagomea kabisa kufanya kazi nna rafk angu alizaa kisa alikunywa Fragil akajiaminisha kabisa kumbe hakuna kitu
 
inaweza kusaidia kwa kiasi fulani, kinachotokea ni kwamba ukinywa majivu unaongeza alkalinity/acidity kwenye mwili ambayo ikizidi inaua manii, so no mimba

nashukuru sana kwa nyongeza hiyo..I always hate things which can not be explained scientifically..sasa umetumia neno manii...hayo si ya mwanaume? au na maji ya kike yanaitwa hivyo...na mwananmme akinywa inaweza protect?
 
Manchester United wangejua leo wangepiga glass 2 za juice ya majivu kila mchezaji kabla ya kuja darajani!!!!!!
 
Sorry sister nimeogopa nilivyoona mtu anatumia vijiti kuzuia mimba hivyo vijiti vinakaa wapi? kwenye K msaada tafadhali!

Haviwekwi kwa papuchi mkuu inawekwa mkononi kwa juu karibia na alama ya sindano ya ndui viko ka plastic unafanyiwa operation ndogo ka unataka three years wanaweka vitatu one year madhara yake ni hatari, kuumwa kichwa, mimba kutungwa hafu na kuharibika kizungu zungu, Kansa, pia vinatabia ya kuzidi kuingia ndani kwa kupitia mshipa hadi karibia na moyo ni hatari Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom