Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Kuna mechanism gan inatokea mpka iwe ni njia ya kuzuia mimba?
 
mi kwa ninavyojua jivu juice huwa inapelekea bleed. ukitumia humalizi masaa 6 bila kuanza period. nlishawahi kushuhudia hicho
 
ni njia natumia siku zote za maisha yangu!! alinifunza mamangu!

asante kuwaelimisha na wengine pia

natamani kujua umri wako, na je umeshawahi kupata mimba tangu uzaliwe? usikute unajikinga wakati hujui kama unazaa au lah
 
Hahaaa haya mkuu asante kwa tuition ya bure...mimi ni wa biashara bwana ,biology nilikua naiona kama mama mkwe japo nilifaulu kwa kiasi cha kuridhisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Ivi nyonyo inatumikaje? Dadavua kiundani kiongoz maana wengine kwetu zipo sana bt hatujui jinc ya kuzitumia .. natanguliza shukrani
Mwanamke anapokuwa kwenye period, anameza mbegu moja ya nyonyo. Baada ya hapo kujisevia bwerere... Ila kila wakati wa MP lazima ameze.... ILA SIJUI inachukuwa muda gani mwanamke akiacha kutumia nyonyo hadi kupata mimba pindi anapoamua kubeba ujauzito
 
Mbona Kuna mbegu una Meza kama hutaki kuzaa miaka mitatu labda una Meza vitatu mwaka mmoja hivo hivo ni tofauti na nyonyo
 
kama haujapata mapacha bila kutarajia sijui
 
Mkuu wanadai inaathiri mayai
 
hiyo elimu ya wapi mbona cjui unaweza kunipa simple summary ya reaction zinazotokea
 
Mada kama hizi zitawapoteza wengi sana. Sijui ni kwanini mtu unaamua kupotosha wenzio, lazima ujue kuwa humu kuna watoto wadogo wasiojua kuchanganya na za kwao.
 
Mada kama hizi zitawapoteza wengi sana. Sijui ni kwanini mtu unaamua kupotosha wenzio, lazima ujue kuwa humu kuna watoto wadogo wasiojua kuchanganya na za kwao.

asante mkuu. umemaliza vizuri mnoo.
 
Mada kama hizi zitawapoteza wengi sana. Sijui ni kwanini mtu unaamua kupotosha wenzio, lazima ujue kuwa humu kuna watoto wadogo wasiojua kuchanganya na za kwao.

Kupostosha.??? Kuna aliyeitwa au kulazimishwa kusoma. ...wewe kama ni mtoto kachezee vikopo na watoto wenzio sio kukurupukia mambo ya kikubwa
 
Vipi kama mama yako angetumia majivu kuzuia mimba yako,LEO UNGEANDIKA UPUUZI HUU?

acha jinga hii.
Badilika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…