Vipi kama mama yako angetumia majivu kuzuia mimba yako,LEO UNGEANDIKA UPUUZI HUU?
acha jinga hii.
Badilika
Kupostosha.??? Kuna aliyeitwa au kulazimishwa kusoma. ...wewe kama ni mtoto kachezee vikopo na watoto wenzio sio kukurupukia mambo ya kikubwa
Wewe unasema miti inasumu je na dawa na sindano za hospital je??
Jioni nakufuata na defender pale hongera / Ambiase unapojianikaga ukae ndani masaa 48 kwa kupotosha watoto, ndo utanijua mimi nani!
Kati yangu mm na ww nani mjinga???? Mjinga wewee uliyokuja kukoment kwenye uzi wa kijinga. ....au kwenu mmezaliwa kama panya?
Tuko watatu, tumepishashana miaka 3,3.
Na wazee walitumia kalenda sio majivu.
Msomi mzima utumie majivu/vidonge,sindano,vitanzi.
Ndio maana mwisho wa siku mnapoteza vizazi bila kutegemea!
So sorry kama nimekukera!
We unazan wanaozaa ovyoo hawatumii kalenda wanatumia sana tu na mwisho wa siku wanapata mimba.....
Avemaria mbona uko mbele mbele kusuport na kulike kulikoni unapenda sana yale mambo yetu nini..?Ni njia nzuri sana mumie kuliko za hospital
Avemaria mbona uko mbele mbele kusuport na kulike kulikoni unapenda sana yale mambo yetu nini..?
Hayo mengine utajaza mwenyewe.
Mi nshasema yangu!
Nitajazaje huku umeulizwa wewe! Say ndiyo au hapana....!
Vijiti???
Bora hata ukatafute mbegu za minyonyo kule kijijini. Hiyo kitu ikibuma ndugu yangu utasikiliziia mziki wake
Explain kwa nini familia nyingi zenye watoto lukuki ni masikini...Explain kwa nini idadi ya watu ikizidi mahali (overpopulation) hilo eneo linakuwa na maendeleo duni..Explain kwa nini familia zinazopanga uzazi wa mpango zinakuwa na watoto wenye afya na akili as compared to familia za "kipemba"? na lastly explain kwa nini jamii za watu wanaokumbatia habari ya "kila mtoto huja na riziki yake" ndo zilag behind kielimu, kiuchumi na kila kitu? usiniambie hazina Mungu!!!
Wazima wanajf? jamani eti kweli ukikoroga majivu ukanywa baada ya kufanya sex yanazuia ucpate ujauzito?Na hayana madhara?