mwe! ni bora muwaone wataalamu kwa ushauri wa kitaalamu zaidi, ila kwa upande wangu sikushauri maana hapo hatujui side effect ya hayo majivu, mtakuta mwishowe mnatoboa vizazi bure, na kwanini muwaze majivu na wakati kuna njia nyingi tu salama.
Mapozi baby usitoe mimba yangu,,,,AmazingWazima wanajf? jamani eti kweli ukikoroga majivu ukanywa baada ya kufanya sex yanazuia ucpate ujauzito?Na hayana madhara?
Mapozi baby usitoe mimba yangu,,,,Amazing
Wakuu!nna mpnz wng ambae wte 2mepima na 2po salama,na ikitokea 2mefanya mapnz ktk cku zake za hatar hutumia majivu ndan ya masaa72 kuepusha kushka mimba,na ni mwaka sasa npo nae na haijawah tokea akashka..njiaa hii anadai alifundshwa na shangaz yke ambae nae hui2mia bdala ya vdonge vya uzaz wa mpango.. SWALI:kuna uthibtisho wwte wa ktabibu juu ya matumiz ya majiv ktk kuzuia mimba?je hakuna madhara yyte kiafya?kipimo huweka vjiko vi3 vy majivu ktk glas ya maj na kukoroga kisha hunywa glass3 kw wakat mmja...naombeni majibu ya ktaalamu
Mimi nahitaji kuwafanya mbwa wangu wa kike wasizae milele, naombeni ufafanuzi plse
wapeleke hospital wakawatoe uzaziMimi nahitaji kuwafanya mbwa wangu wa kike wasizae milele, naombeni ufafanuzi plse
Mmm bora kama vp nizae tuu, majivu apana, kuna mimba nyengine visirani hazisikii dawa wala sindano, naikishaingia kutoka kazi utaruka Kamba panda ngazi 100 inakutizama tuu, hiyo mimba inaitwa utaniza Unataka usitake ....
Majivu unayokunywa yanaingia katika mfumo wa chakula na sio wa uzazi, how comes majivu yazuie mimba??...
Mtoa mada acha watu wazae. Wasingezaa wewe ungekuwa po, au unataka tuwe kama ulaya viwili au kamoja?
apo umemaliza mchezo
apo umemaliza mchezo