Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh utamu uishie nje?!
nishawahi kusikia pia,but sina uhakika
Kuna mobile apps nyingi ambazo zinaweza kusaidia katika mambo haya: mfano ladytimer nk. Kumbuka kujikinga endapo huna uhakika na afya ya mwenzi wako
Papuchi bila ndomu ni tamu balaa.
mie nliambiwa asprin, natumia masaa machache baada ya kukutana nikiwa kwenye siku za hatari.
HIVI KWA NINI MLIKIMBIA BIOLOGY????
MASWALA YA KUANGAIKA MAJIVU AMBAYO PRACTICALLY YANAENDA KUREACT NA KIZAZI MAANA NDO ENEO LA TUKIO(according to mleta mada) USIJARIBU JARIBU MADUDE KWENYE KIZAZI EBOOO
tumia KALENDA UELEWE MWILI WAKO KWANZA THEN USE KALENDA LAKINI ujaolewa bado unaanza kuangaika nani kakwambia natural way ni majivu??? natural way ni kalenda tu
HUJAOLEWA DONT DO IT OR USE CONDOM
UKIOLEWA USE KALENDA
Au vitamin c
Mhhh nimekuja spidi mana ndom sizipendii...em ngoja waje wenye eksipiriensi
Watu wanaogopa mimba kuliko ukimwi
mjinga hapa ataiga..kazi kweli kweli
Kuna mama mmoja aliwahi niambia mbegu za papai but sikufuatiliaga.
HIVI KWA NINI MLIKIMBIA BIOLOGY????
MASWALA YA KUANGAIKA MAJIVU AMBAYO PRACTICALLY YANAENDA KUREACT NA KIZAZI MAANA NDO ENEO LA TUKIO(according to mleta mada) USIJARIBU JARIBU MADUDE KWENYE KIZAZI EBOOO
tumia KALENDA UELEWE MWILI WAKO KWANZA THEN USE KALENDA LAKINI ujaolewa bado unaanza kuangaika nani kakwambia natural way ni majivu??? natural way ni kalenda tu
HUJAOLEWA DONT DO IT OR USE CONDOM
UKIOLEWA USE KALENDA
Kunywa maji baridi kila baada ya mchezo,mimba utaisikia na kuiona kwa jirani
Kuna mobile apps nyingi ambazo zinaweza kusaidia katika mambo haya: mfano ladytimer nk. Kumbuka kujikinga endapo huna uhakika na afya ya mwenzi wako
kumbe nazo zinasaidia. Thanx my dia maana hata sikuwa najua
Na virusi vinapata utamu balaa..