Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Hii ya papai huyo mama alisema ametumia for ten years.... lol nilimis details...sijui nimtafute Facebook?
Nimewahi mwuliza sister akaniambia ye hakutilia maanani so hakumbuki.... I really hate hizi za hospital and sitajaribu asilani kuzitumia

Inabid umtafute au umuulize dada ako ....kuna umuhimu wa kujua njia asilia walizotumia mama na bbi zetu kupanga uzazi kwa maana nawaza sana pindi ntakapoolewa itakuweje
Za hospital sio nzuri wanawake weng wanalalamika
 
Km dada kaolewa na Wewe bado hawezi kwambia
 
Inabid umtafute au umuulize dada ako ....kuna umuhimu wa kujua njia asilia walizotumia mama na bbi zetu kupanga uzazi kwa maana nawaza sana pindi ntakapoolewa itakuweje
Za hospital sio nzuri wanawake weng wanalalamika

Mgumu balaa...nitamtafuta yule mama Facebook. Za Hosp ni big no... sitaki kuharibu shape shost plus other effects...
 
Bora tu aseme maana ataniepushia Moja. Haisaidii kutokuniambia maana nna do...sasa which is better?

Hasemi labda muwe mmeshibana saaanaaaa.... au anachukulia vitu simpo. Wekeza kuongea na kuhoji watu wazima, utajua mengi.
 
Duh...sasa wale ambao ratiba zao za kugegedwa zipo tight...yaani jtatu to ijumaa wapo ulingoni si watakunywa hayo majivu mpaka wakome....

Baada ya mwezi atakuwa ananuka mkaa...kama sio kuhema majivu.

Aisee jf huwezi pita umenuna kwi kwi kwi!!
 
Ila pia IPO ya kunywa flagly ukitoka kudoo ukihisi mimba..il a nayo cjawahi kuifuatilia..kaa na watu ujue ya watu tatiana

Umeona eeh!! Thanks charty hebu endelea kumwaga madesa.

Nskumbuka my mom alikuaga anatuambia tuwe na mazoea ya kumeza flagyl once in three months inasaidia kusafisha kizazi....
Maaan....flagyl aren't user friendly
 
Last edited by a moderator:
Hasemi labda muwe mmeshibana saaanaaaa.... au anachukulia vitu simpo. Wekeza kuongea na kuhoji watu wazima, utajua mengi.

She isn't my close friend ndio maana. Eeh ngoja nitafute info nmije na majibu
 
Mimi naijua ya kunywa sumu ya panya dakika 3 kabla ya tendo.....
 
..
..Watu mnahangaikaaaa...tigo ndio njia sahihi na salama kiafya kuzuia mimba...ukipata mimba kupitia tigo...ni pm..10million natoa...!!!
 
Huwa nikisikia mwanamke katoa mimba huwa nahisi kichefuchefu hata sitaki nimuone
 
Back
Top Bottom