TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
duh! wengine wanatafuta njia za kuchomoa wasipate mimba wengine huku kutwa kucha tunasaka na bado hatujafanikiwa kupata mimba mweh! maisha haya ni full ishuz....kila la kheri wandg...tuombeane jamani
Ooh masikini!! Mungu atakusaidia mamii.. post yako imenifanya nijisikie vibaya.