Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ina athari gani kwenye mapafu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ya kwanza umetumia maneno makali sana......afadhali ungetumia kuchepuka kidogo wahusika wasijisikie vibaya.....Nimefikiria njia fulani za kuacha ulevi nikaona tushare pamoja ili tupunguze risks za kiafya na kifedha pia. Zifuatazo ni aina kuu za ulevi hapa duniani (hasa Tanzania):-
1. Uasherati /Uzinzi/Umalaya/Uchepukaji
Duh JF raha sana...[emoji23][emoji23][emoji23]ulevi unatutesa sana vijana kwakweliNmeacha Pombe kabisa kwa kutumia njia ulizo taja ila leo ndo nasherekea mafanikio kwa kugonga mbili tatu mkuu......!