Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Hii yangu ni ya kweli kabisa.

Kaka mmoja alikuwa mlevi kupindukia. Alibahatika kuchumbia mwanamke ambaye wanatoka kijiji kimoja huko moshi marangu ila yeye anakaa mjini. Mwezi mmoja kabla ya harusi yake akiwa huko marangu kama kawaida yake akatoka kwenda kunywa. Akalewa sana na bahati mbaya mvua kubwa ikaanza kunyesha so ikabidi ajikongoje kwenda nyumbani. Hakufika mbali akaanguka kwenye matope chini ya mgomba akawa anajikongoja kuamka ila anashidwa maana amelewa sana. Bahati mbaya wakwe zake watarajiwa wakapita wakamuona wakamuokota na kumkokota mpaka nyumbani kwao (kwa wakwe), kesho yake asubuhi anaamka nyumba tofauti amechafuka matope wakwe wanamtolea macho... Je hivi ndivyo utaenda kututesea mtoto wetu?
Najua aliacha ila mke alitafuta mwingine sio huyo tena
 
Mkuu umepata hiyo dawa. Nilipo hapa kuna mtalaam anatoa hii dawa ambayo ukiinusa tu utapa kichefu chefu cha ajabu kila unapohisi harufu ya pombe yoyote. Kichefuchefu hiki kinapelekea kutapika kusikokwisha mpaka kuachia ngazi. Wengi wameshaachia ngazi na hawakurudia tena pombe. Tuwasiliane.
Mkuu tujue ulipo nitibu ndugu zangu wengi wanateseka kwa pombe
 
UPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
JANJAJANJA , new member Blower = mbere
 
Msije kulishwa mavi ya kuku tu yaliowekwa katika mfumo wa vidonge
 
Nahitaji feedback kwa m2 ale2mia na akafanikiwa kuacha pombe kabla sijatumia tafadhali.
 
Back
Top Bottom