Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhah, Mndali hebu niambie dawa mwenzio niache hiyo kitu,hahahahahahahduuuh
hahhhaha, ahsante Sky Eclat ushauri wako nimeuchukua kwa asilimia zoteInakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
hahahaaahah, inatoa stress kwa muda, kesho yake unaanza kuwaza hela uliyotumia, hahahahahahnatamani unifundishe initoe stress
unanunuaga mwenyewe?hahahaaahah, inatoa stress kwa muda, kesho yake unaanza kuwaza hela uliyotumia, hahahahahah
Dawa ni kuhudhuria kwenye ibadahahahahhah, Mndali hebu niambie dawa mwenzio niache hiyo kitu,hahahahahahah
Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.unanunuaga mwenyewe?
Mie siku hizi nakunywa wine "two oceans" basi nimeacha mapombe makali makali.NAHUJA mimi Nina alcohol free days in a week, sinywi nikiwa na mawazo. Ni rahisi kutegemea pombe ikupe furaha.
Nikipata habari nzuri ndiyo ninafungua chips ya wine.
Baa sinywi zaidi ya mbili
Kata maji kama mambaInakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
kwani akikununulia lazima uende nae chumbani?Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
Tehe tehe Deo hahahahahaahahWewe piga vyombo