theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kula serengeti lite.... Iko vizuri sana ila usipoangalia unaweza jikuta unamaliza crate mkuu....Pombe za wanaume hizo! hahhahahaaha mie siipendi saaana. Napenda pombe nyepesi nyepesi za kike
Kumbe! Serengeti yenyewe niliichukia maana "inafanya mdomo unanuka"Kula serengeti lite.... Iko vizuri sana ila usipoangalia unaweza jikuta unamaliza crate mkuu....
Red wine cote de rhune ya France lakini South Africa wana wine nzuri piaGrapes gani unaikubali zaidi mkuu na mm nikaifanyie analysis leo....
Wa sauzii wanajitahidi kuna moja jamaa angu aliniletea kutoka huko niliifurahia ngoja nitacheki kama chupa itakuwa store nitaku tag jina lake baadae....Ted wine cote de rhune ya France lakini South Africa wana wine nzuri pia
Kwa kweli sipendi beer za ngano ninapenda za mchele
Kwa TrumpWa sauzii wanajitahidi kuna moja jamaa angu aliniletea kutoka huko niliifurahia ngoja nitacheki kama chupa itakuwa store nitaku tag jina lake baadae....
Hizo za mchele zinapatikana kwa hii nchi JPM kweli???
Sky natamani hizo mbili uazokunywa tunywe wote. Next time when you are happy put in me in list...NAHUJA mimi Nina alcohol free days in a week, sinywi nikiwa na mawazo. Ni rahisi kutegemea pombe ikupe furaha.
Nikipata habari nzuri ndiyo ninafungua chupa ya wine.
Baa sinywi zaidi ya mbili
Kumbe kuna bia za mchele!!! sikuwahi kujua hilo SkyRed wine cote de rhune ya France lakini South Africa wana wine nzuri pia
Kwa kweli sipendi beer za ngano ninapenda za mchele
Pombe inayopanda pipa au inayovuka bahari [emoji1][emoji1] na imani itakuwa nzuri maana wale ndio wazee wa hizo mambo....Kwa Trump
wanywaji kwa kufarijiana hahaha ,kata mti panda mti chupa inadai usiruhusu tu uigeuze kua chai,hahhhaha, ahsante Sky Eclat ushauri wako nimeuchukua kwa asilimia zote
Acha tu tena uipate na msosi inashuka vizuriPombe inayopanda pipa au inayovuka bahari [emoji1][emoji1] na imani itakuwa nzuri maana wale ndio wazee wa hizo mambo....
Pumua kama kibokooKata maji kama mamba
Ahsante kwa ushauriNgoja nikusaidie best we piga kilauli akikisha umezima moto lakini isiwe nyumbani kwako zikipita diameter tofauti,ukiendelea umerogwa
[emoji3][emoji3][emoji3] ogelea pombe kama kenge mtoniPumua kama kibokoo
Pumua kama kibokoo
Raha ya bia ipate kitimoto iliyochomwa vizuri.... Yaani akili itakuja na business idea kibao mkuuAcha tu tena uipate na msosi inashuka vizuri
Savannah siachi inanipa muwasho washo, hahahahahaha tamu sana hiyo. tehe tehe tehetbl wamsaidie nabii tito sasa kawafanyia promo sana kwenye bia ya safari mpaka kina Nakuja wametoka kwenye savanna wamehamia kwenye safari