Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Ngoja nikusaidie best we piga kilauli akikisha umezima moto lakini isiwe nyumbani kwako zikipita diameter tofauti,ukiendelea umerogwa
 
Pombe zinaleta Blood Sugar type 2 kama una umri wa zaidi ya miaka 40.Achana nazo ni rahisi mno,dawa yake ni kunywa maji mengi
 
Ted wine cote de rhune ya France lakini South Africa wana wine nzuri pia
Kwa kweli sipendi beer za ngano ninapenda za mchele
Wa sauzii wanajitahidi kuna moja jamaa angu aliniletea kutoka huko niliifurahia ngoja nitacheki kama chupa itakuwa store nitaku tag jina lake baadae....

Hizo za mchele zinapatikana kwa hii nchi JPM kweli???
 
Back
Top Bottom