Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Raha ya bia ipate kitimoto iliyochomwa vizuri.... Yaani akili itakuja na business idea kibao mkuu
Sasa kama huna mtaji! ahahahahahha, kitimoto mie ni muumini, du! umenikumbusha, hem nizime data kwanza niende kwa Mangi nikaweke order, hahahahahah
 
hahahaaahah, inatoa stress kwa muda, kesho yake unaanza kuwaza hela uliyotumia, hahahahahah
Alafu na hangover ya kufa mtu!
Unakuwa unproductive siku nzima!
Hii kitu rehab inasaidia au uwe na partner au mzazi mkali sana na umeombe akusaidie ili uweze kuicha!
Pombe ni mbaya sana wandugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…