eheee!!!!!Kata maji kama njuri njuri wanasemaga mwagiria rooo nafsi isuuzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eheee!!!!!Kata maji kama njuri njuri wanasemaga mwagiria rooo nafsi isuuzike
Wala c dawa...unaeza enda ibada mawazo yote yakawa kwenye pombe...monde ikishakukolea n shdaDawa ni kuhudhuria kwenye ibada
Sasa kama huna mtaji! ahahahahahha, kitimoto mie ni muumini, du! umenikumbusha, hem nizime data kwanza niende kwa Mangi nikaweke order, hahahahahahRaha ya bia ipate kitimoto iliyochomwa vizuri.... Yaani akili itakuja na business idea kibao mkuu
Hivyo eeeeeeeee!!!!Wala c dawa...unaeza enda ibada mawazo yote yakawa kwenye pombe...monde ikishakukolea n shda
Wa sauzii wanajitahidi kuna moja jamaa angu aliniletea kutoka huko niliifurahia ngoja nitacheki kama chupa itakuwa store nitaku tag jina lake baadae....
Hizo za mchele zinapatikana kwa hii nchi JPM kweli???
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛[emoji3][emoji3][emoji3] ogelea pombe kama kenge mtoni
Alafu na hangover ya kufa mtu!hahahaaahah, inatoa stress kwa muda, kesho yake unaanza kuwaza hela uliyotumia, hahahahahah
Well saidOkoka
Maneno kuntuAlafu na hangover ya kufa mtu!
Unakuwa unproductive siku nzima!
Hii kitu rehab inasaidia au uwe na partner au mzazi mkali sana na umeombe akusaidie ili uweze kuicha!
Pombe ni mbaya sana wandugu!
AmenWell said
Pole sana😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Amesema huku hazipatikani mara nyingi analetewa kutoka kwa bwana Trump mkuuAkikupa jibu ufanye kuni tagi mkuu theriogenology
Na vitu vya huko USA ni vizuri sana.Amesema huku hazipatikani mara nyingi analetewa kutoka kwa bwana Trump mkuu
Amina kubwa!!!Kwa kweli nakutakia kila la kheri, kwani hakuna linalomshinda Mwenye Enzi Mungu!
Mwambie aache gongo anywe biaKuna dada ana lalamika eti mumewe akilewa akirudi anafungua friji anakojolea humu akidhani anafungua mlango wa toilet hahahah
mmh!Mwambie aache gongo anywe bia
Shkamoo mamdogo...!!Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
![]()
Naunga mkono hoja....[emoji123]Inakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo