😀😛😀😛😀😛😀😀😛😀😀Majibu ya mlevi utayajua pasipo na shaka....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Shkamoo mamdogo...!!
Marahaba. karibu kinywaji. hahahahahaahaah.Naunga mkono hoja....[emoji123]
kuwa bize sana utajikuta huna mda wakunywaWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Nasikia kuna miaka bajeti ya nchi yetu ilitegemea sana sisi wanywajiAcha uchawi wewe...uache bia ili iweje? Uchumi utayumba jamani
Ni kweli niko busy sana kuchat JFkuwa bize sana utajikuta huna mda wakunywa
😀😀 jushugulishe na kazi mda wote pale unapo hona mda wakunywaNi kweli niko busy sana kuchat JF
Ni miaka hii miwili ndio tumaenza kudharauliwa kiasi cha kukatazwa kunywa mchana. Na matokeo yake tumeshindwa kutoa 50 za kijiji...mnywaji na mvuta tumbaku ndio wazalendo wa kweliNasikia kuna miaka bajeti ya nchi yetu ilitegemea sana sisi wanywaji
hahaahha, sasa mie hapa nilipo nimepanga tena nyumba yenyewe haina hata uwanja wa kufagia, sijui nifanye nini nikisikia hamu ya kunywa pombe hahahahahahahahahaha😀😀 jushugulishe na kazi mda wote pale unapo hona mda wakunywa
hahaahha, sasa mie hapa nilipo nimepanga tena nyumba yenyewe haina hata uwanja wa kufagia, sijui nifanye nini nikisikia hamu ya kunywa pombe hahahahahahahahahaha😀😀 jushugulishe na kazi mda wote pale unapo hona mda wakunywa
hahahaah ,kumbe!!!!Ni miaka hii miwili ndio tumaenza kudharauliwa kiasi cha kukatazwa kunywa mchana. Na matokeo yake tumeshindwa kutoa 50 za kijiji...mnywaji na mvuta tumbaku ndio wazalendo wa kweli
baby shida nn tena?natamani unifundishe initoe stress
Sasa wewe ndio hasa mzalendo. Yaani unatamani kuinua uchumi kwa kulipa kodiNatamani ningeweza kunywa pombe...
Sana ila nikisikia harufu tu nasikia kichefuchefu mwanzo mwishoSasa wewe ndio hasa mzalendo. Yaani unatamani kuinua uchumi kwa kulipa kodi
Ana msongo wa mawazo, mpe wine kama umeshindwa kum care hahahahahababy shida nn tena?