Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
kuwa bize sana utajikuta huna mda wakunywa
 
😀😀 jushugulishe na kazi mda wote pale unapo hona mda wakunywa
hahaahha, sasa mie hapa nilipo nimepanga tena nyumba yenyewe haina hata uwanja wa kufagia, sijui nifanye nini nikisikia hamu ya kunywa pombe hahahahahahahahahaha
 
Dawa ya kuacha pombe ni kufulia tu magufuli katuachisha wengi sana siku hizi tunawahi kurudi nyumbani tunaacheza na watoto michepuko tumeitelekeza
 
Back
Top Bottom