Haleluyaaaaa!!!!Dawa ya kuacha pombe anza dozi ya Yesu mkuu.
hahahahahahahahahahaahahYanini unajibambika mzimu wa namna hii??
Heleluya kubwa kabisa.Haleluyaaaaa!!!!
Shosti naona Rachel katokwa povu la omo huko insta [emoji2] [emoji2] [emoji2] umejua kumpa stressnatamani unifundishe initoe stress
Kama wanavyosema wanandoa wanatamani kutoka wengine wanataka kuingiaMwanzako anatafuta namna ya kuchomoka wewe watamani kuingia, ama kweli dunia uwanja wa fujo.
Vv
Hivi hii bar INA vyumba...nimecheka sanaShost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
AmeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenHeleluya kubwa kabisa.
Mtonyo unanisumbua hautoshiKama haina madhara tumia tu
hahahaahhah, wapo wa hivyo hahahahahaahahahaHivi hii bar INA vyumba...nimecheka sana
Ahsante saaaanaaaKuacha sidhani kama n rahis labda wakuroge tu [emoji16][emoji16][emoji16] ila ninachojua n mtu unatakiww usidepend sana kwenye pombe kias kwamba bila yenyewe mmbo hayaend hapana piga hata mara moja kwa mwenzi au hata kila wikiend unapiga itakaa poa sana. Maana sometimes pombe ni stimulation of development
Hahaaaa cku hizi wanaita vomboWewe piga vyombo
Haaaa tafuta sponsorMtonyo unanisumbua hautoshi
mmh! hapana.Kuna dem wangu wa kilokole hua ananiambia anataka kuniombea niache pombe, ka vipi nimwambie akuunganishe mkuu
Yaani kuzimu unaiona karibu zaidi ya ukaribu wa shati na ngoziAlafu na hangover ya kufa mtu!
Unakuwa unproductive siku nzima!
Hii kitu rehab inasaidia au uwe na partner au mzazi mkali sana na umeombe akusaidie ili uweze kuicha!
Pombe ni mbaya sana wandugu!
Hivi saint Anna ina shida gani?Kwa Trump