Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
Hivi hii bar INA vyumba...nimecheka sana
 
Kuacha sidhani kama n rahis labda wakuroge tu [emoji16][emoji16][emoji16] ila ninachojua n mtu unatakiww usidepend sana kwenye pombe kias kwamba bila yenyewe mmbo hayaend hapana piga hata mara moja kwa mwenzi au hata kila wikiend unapiga itakaa poa sana. Maana sometimes pombe ni stimulation of development
 
Ahsante saaaanaaa
 
Pole Sana!
Anza kwa kubadili life style, badili marafiki japo vigumu, jiunge na club za mazoezi, jilazimishe kupenda sana kuwa home mapema muda unapomaliza majukumu ya kutafuta kipato yaani baada ya kutoka kibaruani utapata tabu siku za mwanzo baadae utazoea! Hii kitu ilinitesa sana kwa kipindi kirefu nilipoamua sasa naishi maisha matamu sana japo nilimaliza miezi mitatu sipati usingizi! Nimepata hasara kidogo ya kupoteza marafiki karibu wote karibu mwaka wa tano sasa
 
Alafu na hangover ya kufa mtu!
Unakuwa unproductive siku nzima!
Hii kitu rehab inasaidia au uwe na partner au mzazi mkali sana na umeombe akusaidie ili uweze kuicha!
Pombe ni mbaya sana wandugu!
Yaani kuzimu unaiona karibu zaidi ya ukaribu wa shati na ngozi
 
Back
Top Bottom