Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Ahsante Muhina
 
Kwa Mwanza nilipo maduka ya vinywaji ya jumla ni Tshs.15,000/= ikifika hotelini/baa ni Tshs.18,000/= kwingine ni Tshs.20,000/=
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] kumbe uko mwanza nime wa miss sato wa huko mkuu.....

Ngoja baadae nitakuwekea mrejesho hapa.....
 
Yaani kuzimu unaiona karibu zaidi ya ukaribu wa shati na ngozi
Alafu jioni ikifika unaanza moja na ukijua wazi kuwa utaumwa kama ulivyouguwa asubuhi!
Hili la pombe walahi ni pepo hai kabisa!
Kuna ambao wanajua kuimudu lakini alcholics we acha tu!
Utagombana na kila mtu, na kujifanya mjuaji wa kila kitu!
Kesho yake unashinda kwenye simu kuomba misamaha kwa watu uliowaudhi, alafu jioni yake unaanza tena moja!
Walahi pombe ni mwanaharamu kweli kweli!
Duh staki skia kabisa!
 
Hongera sana na ubarikiwe!
 
Uliwahi kuonja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…