Barikiwa Sky EclatKila mtu anampenda Sky, haringi hata kidogo, yuko majuu na ana maisha mazuri lkn yuko simple vibaya mnoo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwa Sky EclatKila mtu anampenda Sky, haringi hata kidogo, yuko majuu na ana maisha mazuri lkn yuko simple vibaya mnoo!
sio nyeupe, sio tamu sanaNi sweet na white nayo?
InshallahYenyewe ilinikataa, nikiwa jeshini, sikuipenda Kabisa!
Lakini mimi ni mchaga kwa hiyo nimeshuhudia mateso ya watu!
Maulana Mola wangu aniepushe mimi na kizazi changu walahi, uwiii!
kweli kabisaKwa hilo nakuunga mkono hana majivuno kabisa huyo mdada.... Afu inaonesha katembelea nchi za nje nyingi tu.....
Yupo simple and straight...
Sana..nyegeleshi
Du! haya nitafanya hivyo halafu nitaleta mrejesho!Chukua maziwa ya nguruwe tia kwenye pombe kisha kunywa...
Balimi ni pombe ya kiume, lakini tangia "vyuma vimekaza" wanawake tunakunywa hata mimi nakunywaga.Pombe za kike ndio zipi? Maana kuna demu nilimtoa out akaagiza BALIMI.
Kwaiyo alikuwa sahihi mkuu?
Kwa hilo nakuunga mkono hana majivuno kabisa huyo mdada.... Afu inaonesha katembelea nchi za nje nyingi tu.....
Yupo simple and straight...
Ngoja nimuite aje hapa nimuone anavyokana huyu Sky Eclat hahahahhaKabisa mkuu...love u Dr. Sky Eclat (sasa hivi anakuja kukana hapa kuwa yy sio Doc. na anaishi kwa mtogole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
kulalamikia nini ager?Hamjaacha tuu kulalamika
ehe mwaga nondo sasa ni ipi? shusha madesa hapa MathiasNdio ipo!
Kamulia maziwa ya mama kwenye glass ya pombe afu kunywaNgoja nimuite aje hapa nimuone anavyokana huyu Sky Eclat hahahahha
Sasa si uweke hapa ili na wengine wenye shida kama yangu wanufaike weee chumanil!!!!Mi ninayo ...nifoll nibox au whatsp.
Jua umepona .
😀😀😀😀 Mie ndio sipokei vi offer vya kipuuzi hivyo kabisaa, tena kama sikujui halafu mhudumu analeta kinywaji "umepewa na yule paaalee" na mwambia mrudishie mwambie ahsante nimetosha sinywi tena. halafu ananiona naendelea kuagiza kwa pesa zanguHata bar zakishua mkiwanywea wana maindi, sema wanakaushagatu.
hana wadudu ila ni mtaalamu wa magonjwa (Dr.)Namfuatilia mara kibao kwa jukwaa la Medical kule anajua vitu vingi kweli naona wao ndio walikuwa wasomi wasomi wa mwanzo..... Ila kwenye HIV topics huwa yupo active mpaka huwa namhisi may be ana wadudu.....
waooooo! hongera sanaNi miaka 4 sasa tangu niache pombe.
Sitakaa nirudie hii kitu.
Nikikumbuka nilivyokuwa naiiita
MY DEAR BOTTLE, MY LOVE ALCOHOL, na demu pembeni.
Pombe ili niifurahie ilikuwa niwe na mtoto pembeni.
Siku nilipouga kwa pombe nilipona na kuiacha kabisa.
Ahsante DavetUamuzi wako tu ndio dawa
hahahahahahahahahaahahahakunywa sana zidisha mara mbili ya ulivyokuwa unatumia mwanzo
[HASHTAG]#dawa[/HASHTAG] ya moto ni moto
in wahenga's voice![]()