Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Yenyewe ilinikataa, nikiwa jeshini, sikuipenda Kabisa!
Lakini mimi ni mchaga kwa hiyo nimeshuhudia mateso ya watu!
Maulana Mola wangu aniepushe mimi na kizazi changu walahi, uwiii!
Inshallah
 
kunywa sana zidisha mara mbili ya ulivyokuwa unatumia mwanzo
[HASHTAG]#dawa[/HASHTAG] ya moto ni moto
in wahenga's voice
5a8923540adae93a529990be2280911d.jpg
 
Kwa hilo nakuunga mkono hana majivuno kabisa huyo mdada.... Afu inaonesha katembelea nchi za nje nyingi tu.....

Yupo simple and straight...
Kabisa mkuu...love u Dr. Sky Eclat (sasa hivi anakuja kukana hapa kuwa yy sio Doc. na anaishi kwa mtogole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Ngoja nimuite aje hapa nimuone anavyokana huyu Sky Eclat hahahahha
 
Hata bar zakishua mkiwanywea wana maindi, sema wanakaushagatu.
😀😀😀😀 Mie ndio sipokei vi offer vya kipuuzi hivyo kabisaa, tena kama sikujui halafu mhudumu analeta kinywaji "umepewa na yule paaalee" na mwambia mrudishie mwambie ahsante nimetosha sinywi tena. halafu ananiona naendelea kuagiza kwa pesa zangu
 
Namfuatilia mara kibao kwa jukwaa la Medical kule anajua vitu vingi kweli naona wao ndio walikuwa wasomi wasomi wa mwanzo..... Ila kwenye HIV topics huwa yupo active mpaka huwa namhisi may be ana wadudu.....
hana wadudu ila ni mtaalamu wa magonjwa (Dr.)
 
Ni miaka 4 sasa tangu niache pombe.
Sitakaa nirudie hii kitu.

Nikikumbuka nilivyokuwa naiiita
MY DEAR BOTTLE, MY LOVE ALCOHOL, na demu pembeni.

Pombe ili niifurahie ilikuwa niwe na mtoto pembeni.

Siku nilipouga kwa pombe nilipona na kuiacha kabisa.
waooooo! hongera sana
 
Back
Top Bottom