Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
duh baada ya hizi bia mzigo ni nje nje
 
natamani unifundishe initoe stress
Una strees gani? But kumbuka pombe haitoi strees ila inaongeza zaidi pindi unapopiga vyombo. Ingawa utapata usingizi kwa mda mfupi na kujihisi kusahau strees zote ila unapoamka unabaki kama ulivyokuwa mwanzo
 
Mtoto wa kike unafakamia zote!! Basi hakuna dawa kama unakunywa vile. Ikiwezekana rudi kwa Nabii Issa
 
Dhamira ya dhati ni dawa tosha kabisa,japo mm sijawahi kujua radha yake tangu nizaliwe lkn naamini ukiamua unaweza tu.
 
Pombe haiachwi..ila unapumzika tu! Ila kama haikudhuru endelea kupiga kama kawa.Safari jamani ni chungu mno sijui kwanini watu wengi wanazipenda kipindi hiki.
 
sirikali ndo inatutegemea sisi wapiga vyombo ili watoto wetu wakasome bure'RETURN FROM INVESTMENT unaachaje kwa mfano?mhudumu ongeza glass
 
Inategemea jinsi ulivyoanza kunywa pombe. Vinginevyo itakuwa ni kama wale wala mihogo, mara pweza, mara nazi. Sasa umeambiwa pombe nayo uache.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom