Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
Dawa ni kuamua kuacha... Naamin kama ukishafany maamuzi ya kuacha therz no going back, ila kama hutafany maamuz ya kuach ata utumie nn huwezi acha..

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
matibabu haya yanatakiwa yaende na njia zingine za kuacha pombe kama ushauri, kuamua moyoni kuacha, kuomba msaada kwa marafiki, kukaa mbali na wanywaji, kuepuka kukutana bar na rafiki zako na kadhalika.

Chogotz
 
Pombe inaonekana kusifiwa na kutangazwa kwa mbwembwe....ila waliopatwa na madhara hawana ham (kisukari,family problem,work problem and.....) Kuokoka pekee ili Roho mtakatifu akusaidie kushinda hilo ila si mbnu za kawaida
 
Dawa ya pombe ni hii. Nenda kambi ya jeshi huko wana bia ni bei ni nafuu. Kunywa halafu anzisha fujo. Usisahau kuleta mrejesho
 
Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
Dawa ya kuacha pombe ipo na wengi wametibiwa na kupona. Kuna mganga yupo Kongwa mkoani Dodoma ambaye amefanikiwa kuwatibu ndugu zangu kadhaa waliokuwa wameloea kwenye pombe kiasi cha kupoteza mwelekeo. Kama una ndugu aliyeloea kwenye pombe au hata wewe mwenyewe, njoo PM nikupe namba za mganga huyo wa uhakika. Mm nimeshuhudia ndugu zangu wakiacha pombe kwa dawa zake, hivyo siwezi kuwa mchoyo wa tiba hii. Karibuni sana.

N.B Mimi sio ndugu wa mganga huyu na wala sina maslahi yoyote na tiba anayotoa lakini naamini ataokoa watu wengi waliotumbukia kwenye pombe na kuwarudisha ktk maisha ya kawaida. Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya na jamii kwa ujumla. Kuacha pombe inawezekana.
 
Pombe konyo mamaqe..kuna karembo kaliomba lift tulikua tumealikwa kwenye sherehe pamoja ...kakala gambe badae kanasema jirani kama upo teyar turudi maana nikiendelea kunywa ntaaribu huwa zinashuka chini..nikamwambia we kunywa zikishuka chini ntazimwaga..
 
Back
Top Bottom