Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Sikia, tafuta maziwa ya nguruwe kidogo sana(samahani km ni muislam, ila ndiyo dawa pekee na isiyo na madhara). Unachovya kidole chako humo na unamdondoshea tone 1 tu kwenye maji yake ya kunywa au kinywaji chake chochote. Lakini hakikisha humuwekei zaidi ya tone 1. Make sure "1 Drop". Toka hapo, kila atakapojaribu kunywa pombe lazma atapike, mwisho wa siku ataichukia pombe maisha yake yote. I swear. Ila polen kwa hyo kero mnayoipata.
 
Unasema uongo wewe Maziwa ya nguruwe sio Dawa ya kuacha kunywa Pombe. dawa ya kuacha Pombe tafuta Mama anaye nyonyesha akutilie kwenye pombe yako maziwa yake kidogo tu utaacha kabisa kunywa Pombe fanya hivyo unipe FeedBack
 
Hii hata mimi niliisikia; ila waangalie health status ya huyo mama, isije ikaongeza tatizo!
 
Hii hata mimi niliisikia; ila waangalie health status ya huyo mama, isije ikaongeza tatizo!
Nijuavyo mimi Nyama ya Nguruwe ina vijidudu (bacteria) ambavyo hata uchemshe kivipi nyama yake hivyo vijidudu havifi itakuwa hayo maziwa? Kwa ufupi mimi siwezi kummpamtu ushauri atumie Maziwaya nguruwe Eti kwa sababu ni dawayakuacha kunywa pombe? Je akija pata maradhi mengine yanayotokana na hayo maziwa ya nguruwe? Je itakuwaje?
 
mie nina watoto.. nilijaribu hiyo ya maziwa ya mama... it doesnt work
 
Soma hapa Kuhusu Vijidudu (Bacteria) vilivyokuwemo katika nyama ya Nguruwe

Disease in pork

Pork, usually if undercooked, is also known to carry some life-threatening diseases such as pork tapeworm and trichinosis. Scholars citation needed recently have suggested that some of the stigma placed on pork by Islam and Judaism might stem, in part, from ancient times when pork would be the carrier of disease.

Undercooked or untreated pork may harbour pathogens, or it can be recontaminated after cooking. In one instance, the FSIS detectedListeria monocytogenes in 460 lbs of Polidori brand fully cooked pork sausage crumbles.[SUP][27][/SUP] The FSIS has previously stated Listeria and other microorganisms will be "destroyed by proper handling and thorough cooking to an

internal temperature of 160 °F (71 °C)" and that other microorganisms, such as E. coli, Salmonella, and Staphylococcus aureus can be found in inadequately cooked pork, poultry, and other meats.[SUP][28][/SUP] The FSIS currently recommends cooking

ground pork to 160 °F (71 °C) and whole cuts to 145 °F (63 °C) followed by a 3 minute rest.[SUP][29][/SUP]

The pig is the carrier of various helminths, such as roundworms, pinworms, hookworms, etc. One of the most dangerous and common isTaenia solium, a type of tapeworm. Tapeworms may transplant to the intestines of humans, as well, when they consume untreated or undercooked meat from pigs or other animals. If the infection is not treated, it can be fatal.

Although not a common cause of illness, Yersinia enterocolitica – which causes gastroenteritis – is present in various foods, but is most frequently caused by eating pork and can grow in refrigerated conditions. The bacteria can be killed by heat.[SUP][30][/SUP]

Nearly all outbreaks in the US have been traced to pork.[SUP][31][/SUP]

Pork may be the reservoir responsible for sporadic, locally acquired cases of acute hepatitis E (HEV) reported in regions with relatively mild climates. It has been found to transmit between swine and humans.[SUP][32][/SUP]

Trichinosis, also called trichinellosis, or trichiniasis, is a parasitic disease caused by eating raw or undercooked pork infected with the larvae of a species of roundworm Trichinella spiralis, commonly called the trichina worm. Infection was once very

common, but is now rare in thedeveloped world. From 2002 to 2007, an annual average of 11 cases per year were reported in the United States; the majority were from consuming wild game or the source was unknown. The number of cases has

decreased because of legislation prohibiting the feeding of raw meat garbage to hogs, increased commercial and home freezing of pork, and the public awareness of the danger of eating raw or undercooked pork or wild game products.[SUP][33]
[/SUP]

pig-thumb-500x543-54125.jpg

Wakuu Kitomoto hakifai kuliwa wala kwa Dawa Karibu Dini Zote Zimekataza kutumia Kiitomoto Nguruwe shauri yako ukila.

Chanzo.
Pork - Wikipedia, the free encyclopedia
 
thanks mzizimkavu, very useful. ndio maana wenzetu wanafocus kwenye malezi na prevention ya magonjwa kwa wanyama na mimea. sijui sie... kila siju huwa najiuliza madhara ya mchich wa msimbazi
 
thanks mzizimkavu, very useful. ndio maana wenzetu wanafocus kwenye malezi na prevention ya magonjwa kwa wanyama na mimea. sijui sie... kila siju huwa najiuliza madhara ya mchich wa msimbazi
Mimi sipo huko nyumbani lakini inategemea jinsi wanavyolima huo mchicha hao watu wa Msimbazi. Ikiwa wanaulima huo mchicha ipasavyo kulimwa utakuwa huo mchicha hauna madhara lakini ikiwa hawaulimi huo mchicha inavyotakiwa ulimwe utakuwa huo Mchicha una madhara kwa binadamu.
 
Yeye mwenyewe kwanza ni dawa tosha kbs kama akiamua kuacha ata acha.Na kama hatakuwa tayari hata kama mtampa hayo maziwa ya nguruwe na ya mama hata debe zima lkn bado ataendelea kuchapa 2.

Pili amrudie mora wake ni tiba tosha kwani hakuna din inayo ruhusu kunywa pombe dunian.

Tatu dawa za uhakika mpeleke kwa wichi dokta kwan hata hayo maziwa ya nguruwe ni kweli yanafanction lkn huambatana na mambo ya kiwich dokta kdg..
 
mzizi mkavu huachi kunishangaza.
Kaka mchicha unalimwa vizuri basi hauna tabu, je kama nguruwe anafugwa vizuri na anapikwa akaiva je!??!!

Mtm kasema maziwa ya mwanamke hayasaidii, kashajaribu, unasemaje.

Acha uganga ndugu yangu.
 
issue ya mchicha pale tatizo ni takataka zenye sumu toka viwandani and other solid wastes including arsenic compounds, hata walimeje mchicha pale hizo solid wastes (tena na sasa DDT imeongezeka) zina long term damage to human beings
 
mzizi mkavu huachi kunishangaza.
Kaka mchicha unalimwa vizuri basi hauna tabu, je kama nguruwe anafugwa vizuri na anapikwa akaiva je!??!!

Mtm kasema maziwa ya mwanamke hayasaidii, kashajaribu, unasemaje.

Acha uganga ndugu yangu.
nadhani aliteleza tu........... mchicha ukilimwa vizuri kwenye mazingira hatarishi nao ni hatari, na nguruwe akifungwa vizuri kwenye mazingira hatarishi na yeye ni hatari pia

Hata sisi ni hatari kama tutaishi kwenye mazingira hatari............. kachumbari zina madhara makubwa na ni rahisi zaidi kudhuru kwasbabu ingredients zake hazipikwi
 
maziwa ya mama niliwahi kuskia, ila sijawahi kujaribu, ila milk ya nguruwe ndo kwanza naiskia leo. kama mdai aliposema hapo mwanzo dawa ni mnywaji mwenyewe! mimi pia nilikuwa kidogo kama yeye, ila nimeweza kuacha ingawa sio moja kwa moja, ila nimepunguza na naelekea kuacha kabisa. ni vizuri akibadilika kuliko kuja kunyweshwa maziwa ya nguruwe
 
mpaka sasa still dawa haijapatikana maana wengi ni uganga tu
ila kumbe dawa ni yeye mwenyewe kuamua.
ahsanteni
 
mzizi mkavu huachi kunishangaza.
Kaka mchicha unalimwa vizuri basi hauna tabu, je kama nguruwe anafugwa vizuri na anapikwa akaiva je!??!!

Mtm kasema maziwa ya mwanamke hayasaidii, kashajaribu, unasemaje.

Acha uganga ndugu yangu.
Memo Mambo hay wewe tuachie sisi wewe kazi yako ni hiyo kukimbia kimbia sana mpaka uwe Mwembamba ninafikiri wewe unachokitambi ndio maana unapenda kukimbia kimbia kimbia sana kama Filbert Bay hahahahahah.

Nguruwe hata ukimchemsha vipi wadudu wake Bacteria hawafi kamwe ukita kula ukipata maradhi madaktari tupo tutakuapa dawa unasemaje? Usipo umwa wewe kule hospitali ya Muhimbili Madaktari watafanya kazi gani?Angalia Video hii Wadudu wanaotoka ndani ya Nyama ya Nguruwe Kitomoto hichooooooooooooo

Last edited by a moderator:
Yeye mwenyewe kwanza ni dawa tosha kbs kama akiamua kuacha ata acha.Na kama hatakuwa tayari hata kama mtampa hayo maziwa ya nguruwe na ya mama hata debe zima lkn bado ataendelea kuchapa 2.

Pili amrudie mora wake ni tiba tosha kwani hakuna din inayo ruhusu kunywa pombe dunian.

Tatu dawa za uhakika mpeleke kwa wichi dokta kwan hata hayo maziwa ya nguruwe ni kweli yanafanction lkn huambatana na mambo ya kiwich dokta kdg..
Vp mkuu LEGE, siyo kweli kuwa dini zote haziruhusu pombe. Huo ni upotoshaji.
 
Hiyo ya Nguruwe nilishaisikia ni kweli kuna Mpemba mmoja alikuwani mbeba box maeneo jirani na Home mtaa wa Agrey Alikuwa ni Mlevi Mbwa anajikojolea matusi kuomba omba pesa basi ilikuwa ni kero Sana. Kuna mdau mmoja Mchagga ana Kiduka alimpa hiyo ya Ya Nguruwe ni kweli hufanya kazi kwa muda fulani tu kwan hayo mafuta yakiisha tumboni ndio kama kinga inaisha.

Dawa ya nguruwe ni kweli kila mtu akitaka kunywa Pombe anasikia kichefu chefu kibaya mn, huyu Mpemba Ame alipokuwa kila akiajaribu kunywa pombe kichefu chefu na siku alijilazimisha alitapika nursa afe kwa kudhoofu watu wakamuwahi kumpa Maziwa.

Ikapita kama miezi mitatu akajaribu kunywa pombe akaona fresh lakinii alitapika ikawa anajiforce hivyo hivyo hadi ikawa kwake ni fresh kilabu tu kuna siku walimtishia kumla Kiboga wakikuta amelewa akahama eneo sijui yupo wapi sikuhizi kama anaendelea na pombe au la.

Mkuu mlevi si Ndugu yako mpe tu hiyo ya Nguruwe aache then baadae atatakasikia bila hivyo unaweza kumpoteza ndugu yako au Njia ningine muombee
Huyu Ame ni kweli aliichukia Pombe. kwa mtu msomi anaweza ichukia moja kwa moja.
 
dawa ya kuacha chochote. iwe pombe, sigara, mke, mume n.k. ni KUAMUA KUACHA
 
dawa ya kuacha pombe ni kinyonga,
una mchukua kinyonga unamkausha , then unamsaga , ule unga wake unaweka kwenye bia ya mtu unaetaka aache pombe ,
akinywa tu , hajikugusa tena pombe .

we have do this million times,it always work
 
Back
Top Bottom