lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 553
Ninahangaika kwa muda wa miaka miwili ili niache pombe ila nashindwa, nifanyaje ili nifanikiwe?
Siyo mnywaji wa kulala bar, bajeti ninayopanga kunywea huwa haiongezekaji hata pombe zikolee
Changamoto inayonifanya niache ni
1) Niko shule kwa hiyo hizo 10000 za mara moja moja kunywea zinanikata
2) Huwa naishi kugombana na wife kwa sababu ya harufu mbaya kiasi cha kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu
3) Nina uzito mkubwa mno ambao moja ya ushauri wa madaktari ni kwamba niachane na pombe kama namna moja wapo ya kuhakikisha kuwa siongezeki zaidi
4) Ni kinyume na maadili ya dini yangu, kazi yangu na wadhifa wangu
Nawasilisha