lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 553
Kukata addiction ni kitu kigumu kinyama.Nina hangaika kwa muda wa miaka miwili ili niache pombe ila nashindwa,nifanyaje ili nifanikiwe?
Siyo mnywaji wa kulala bar, bajeti ninayopanga kunywea huwa haiongezekaji hata pombe zikolee
Changamoto inayonifanya niache ni
1) Niko shule kwa hiyo hizo 10000 za mara moja moja kunywea zinanikata
2) huwa naishi kugombana na wife kwa sababu ya harufu mbaya kiasi cha kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu
3) Nina uzito mkubwa mno ambao moja ya ushauri wa madaktari ni kwamba niachane na pombe kama namna moja wapo ya kuhakikisha kuwa siongezeki zaidi
4) Ni kinyume na maadili ya dini yangu, kazi yangu na wadhifa wangu
Nawasilisha
Nakushukuru kwa ushauri mkuuKukata addiction ni kitu kigumu kinyama.
Issue hapo ni kupunguza Kidogo Kidogo, kuachana na marafiki walevi na kutafuta hobby mpya.
AA ni nini? Mgeni hapoPole sana mkuu. Jaribu kumuona mtaalamu wa afya au kujiunga na ile wanaita AA
SawaNyuzi za naachaje pombe ziko nyingi na wadau wametoa maoni yao. Jaribu kutafuta usome na ujaribu njia zilizotolewa uone kama utawezana nazo.
Hii ndio changamoto inayonikabiri sasa hivi; kila nikipanga niache, mzigo ukishaingia tu kwenye account lazima nitenge kazaa. Mbaya zaidi Sina limit ya amount to spend ikishaanza kukolea. Nimekutana na mtaalamu wa miti shamba ananiambia Kuna dawa na nitaichukia pombe. Nataka nianze kuitumia hiyo dawa nione itakuwaje?Nina hangaika kwa muda wa miaka miwili ili niache pombe ila nashindwa,nifanyaje ili nifanikiwe?
Siyo mnywaji wa kulala bar, bajeti ninayopanga kunywea huwa haiongezekaji hata pombe zikolee
Changamoto inayonifanya niache ni
1) Niko shule kwa hiyo hizo 10000 za mara moja moja kunywea zinanikata
2) huwa naishi kugombana na wife kwa sababu ya harufu mbaya kiasi cha kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu
3) Nina uzito mkubwa mno ambao moja ya ushauri wa madaktari ni kwamba niachane na pombe kama namna moja wapo ya kuhakikisha kuwa siongezeki zaidi
4) Ni kinyume na maadili ya dini yangu, kazi yangu na wadhifa wangu
Nawasilisha
Mimi niliamua tu, mwaka huu sinywi pombe.Nina hangaika kwa muda wa miaka miwili ili niache pombe ila nashindwa,nifanyaje ili nifanikiwe?
Siyo mnywaji wa kulala bar, bajeti ninayopanga kunywea huwa haiongezekaji hata pombe zikolee
Changamoto inayonifanya niache ni
1) Niko shule kwa hiyo hizo 10000 za mara moja moja kunywea zinanikata
2) huwa naishi kugombana na wife kwa sababu ya harufu mbaya kiasi cha kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu
3) Nina uzito mkubwa mno ambao moja ya ushauri wa madaktari ni kwamba niachane na pombe kama namna moja wapo ya kuhakikisha kuwa siongezeki zaidi
4) Ni kinyume na maadili ya dini yangu, kazi yangu na wadhifa wangu
Nawasilisha
Mhhhhh mbona huo ushauri hautofautiani na nguvu za giza?Kunywa ulewe Sana kiasi Cha kushindwa kurudi kwako. Masela watakufanyia kitu mbaya. Hapo ukikumbuka tu hutatamani kunywa
Alcoholics anonymous. Ni kundi la watu wanotaka kuacha pombe. Hushea story na kupeana mbinu.AA ni nini? Mgeni hapo
Liko wapo hilo kundi?Alcoholics anonymous. Ni kundi la watu wanotaka kuacha pombe. Hushea story na kupeana mbinu.
Hili lipo dunia nzima. Sijui hapa kwetu . Li search. Pia unaweza soma hiki kitabu, kitakusaidia.Liko wapo hilo kundi?
Kweli Mkuu iache ili wanywaji tubaki wachache na ili pombe zipungue bei.Nina hangaika kwa muda wa miaka miwili ili niache pombe ila nashindwa,nifanyaje ili nifanikiwe?
Siyo mnywaji wa kulala bar, bajeti ninayopanga kunywea huwa haiongezekaji hata pombe zikolee
Changamoto inayonifanya niache ni
1) Niko shule kwa hiyo hizo 10000 za mara moja moja kunywea zinanikata
2) huwa naishi kugombana na wife kwa sababu ya harufu mbaya kiasi cha kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu
3) Nina uzito mkubwa mno ambao moja ya ushauri wa madaktari ni kwamba niachane na pombe kama namna moja wapo ya kuhakikisha kuwa siongezeki zaidi
4) Ni kinyume na maadili ya dini yangu, kazi yangu na wadhifa wangu
Nawasilisha
kuninyima chakula cha usiku mara kwa mara kwa sababu ya kaharufu