Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Tafuta kanisa linalohubiri Wokovu uokoe na hakika Yesu atakusaidia
 
dah pombe ni kama gundi ikikunata ni ngumu kuitoa. emola tusaidie
 
Wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kuacha pombe. Yaani bila kunywa Konyagi kubwa na bia kadhaa ziwezi kupata usingizi! Napata shida sana, nimejizuia kutokunywa nimeshindwa kabisa. Ushauri please!!
 
Pale TBL kuna kitengo maalum cha kusaidia watu kuacha kunywa pombe. Waone tafadhali.
 
wana jf,mm n mnywaj tena hasa,simshaur mtu kuacha pombe,tatzo si kunywa,tatzo uknywa unafanya nn?wakat nkiwa advancd lv,nlkuwa malaria mara3 per month,nlpoanza kuongeza bia,now nakunywa ata thelasin na sijuh magonjwa n nn,sifany ktuko chochote,kwa nn niache mwanajf,kwanza uwezo wa kusaka pesa umeongezeka mara elf
 
unywaji wa pombe ni tabia kama zilivyo tabia zingine,na kama utataka kuacha pombe kuna solution tatu tu ninazoona zitakusaidia kwani hamna dawa maalum ya mtu kuacha pombe.1.kubali na nafsi yako kwamba unataka uache pombe.2.jaribu kukaa na company ya watu wasiotumia pombe.3.tafuta vitu vingine vya kufanya muda unaotumia kunywa pombe,kama kwenda gym,kutembea,kwenda kwenye shughuli za kijamii na kadhalika.ni hayo tu,ukizingatia utafanikiwa.
 
kazi yako ni kumwambia, suala la kuacha ni la kwake maana hawezi kuacha wewe ukiamua na badala yake yeye ndio inabidi awe na nia na aache!!
 
tafuta mama anaenyonyesha. akamue maziwa kidogo, changanya na pombe kisha mpe anywe bila kujua ulichofanya. atatapika na kuacha pombe milele.
 
Trust me and ths is real, tafta maziwa ya nguruwe thn umpe kiac kdogo sna atatapka sana na hatorudia tena
 
unywaji wa pombe ni tabia kama zilivyo tabia zingine,na kama utataka kuacha pombe kuna solution tatu tu ninazoona zitakusaidia kwani hamna dawa maalum ya mtu kuacha pombe.1.kubali na nafsi yako kwamba unataka uache pombe.2.jaribu kukaa na company ya watu wasiotumia pombe.3.tafuta vitu vingine vya kufanya muda unaotumia kunywa pombe,kama kwenda gym,kutembea,kwenda kwenye shughuli za kijamii na kadhalika.ni hayo tu,ukizingatia utafanikiwa.

Ni kweli kabisa. Tafuta mbadala. Mimi kidogo nilikuwa nimeanza kupata mafanikio kwa ku-switch kwenye MIKASI tatizo hao mademu wanataka tukae bar ili wapige mbili za kutoa aibu. SaSa hapo ndo ninapokwama, najikuta na mimi nakandamiza kachupa ka Value kamoja au tuwili. DUUUU NIMEKWAMA KABISA
 
Dawa sio kuokoka wala Yesu, dawa ni mtu binafsi kukubali kubadilika maana unaweza ukamwamini Yesu au ukawa na imani inayokataza Pombe ila wewe ukaendelea kwa sababu haujakubali kubadilika. Kabla hajabadilishwa na mtu au imani yeye mwenyewe akubali kubadilika na kuacha pombe. That's it.

Pombe makes people looks FOOLS. Thats why i don't like it and siitumii.
 
Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?
 
Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?

Ulevi wa Madaraka ni mbaya kuliko kitu chochote, kwani una athali kwa watu wengi na Taifa kwa ujumla! Hayo mengine uliyoyataja ni too personal, hivyo small minded watachangia-mimi NO!
 
Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?
Mkuu Ilambo vyote hivyo ulivyovitaja ni vibaya hakuna hata kimoja kizuri hapo.

Ulevi wa Madaraka ni mbaya kuliko kitu chochote, kwani una athali kwa watu wengi na Taifa kwa ujumla! Hayo mengine uliyoyataja ni too personal, hivyo small minded watachangia-mimi NO!
Mkuu Mtingaji Ilambo kauliza vitu 3 wewe mbona umejibu kivingine?hakuuliza ulevi wa madaraka amekuuliza (Pombe, ngono au madawa ya kulevya) Ulevi wa madaraka umehusiana na kitu gani hapa na swali lake huyu mkuu Ilambo? mbona umemjibu Pumba kwanini?
 
Back
Top Bottom