Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukifika baa usininunue, hiyo ndiyo dawa pekee.
unywaji wa pombe ni tabia kama zilivyo tabia zingine,na kama utataka kuacha pombe kuna solution tatu tu ninazoona zitakusaidia kwani hamna dawa maalum ya mtu kuacha pombe.1.kubali na nafsi yako kwamba unataka uache pombe.2.jaribu kukaa na company ya watu wasiotumia pombe.3.tafuta vitu vingine vya kufanya muda unaotumia kunywa pombe,kama kwenda gym,kutembea,kwenda kwenye shughuli za kijamii na kadhalika.ni hayo tu,ukizingatia utafanikiwa.
Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?
Mkuu Ilambo vyote hivyo ulivyovitaja ni vibaya hakuna hata kimoja kizuri hapo.Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?
Mkuu Mtingaji Ilambo kauliza vitu 3 wewe mbona umejibu kivingine?hakuuliza ulevi wa madaraka amekuuliza (Pombe, ngono au madawa ya kulevya) Ulevi wa madaraka umehusiana na kitu gani hapa na swali lake huyu mkuu Ilambo? mbona umemjibu Pumba kwanini?Ulevi wa Madaraka ni mbaya kuliko kitu chochote, kwani una athali kwa watu wengi na Taifa kwa ujumla! Hayo mengine uliyoyataja ni too personal, hivyo small minded watachangia-mimi NO!
hakuna ugonjwa mbaya kama kuitetea CCM katika zama hizi.Wadau eb naomba mniambie upi ni ulevi mbaya kuliko wote? Pombe, ngono au madawa ya kulevya!?