Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza


Unadhani ni nini suluhu yake mkuu.
 
Hahaha Rahisi sana....mpe mafuta ya Nguruwe anywe wakati akiwa amelewa....atatapika nusu afe ......then atakua na allerge hata kusikia harufu ya pombe......

Huku Milimani nakowinda ndege ndio dawa yetu hiyo:
 
Hahaha Rahisi sana....mpe mafuta ya Nguruwe anywe wakati akiwa amelewa....atatapika nusu afe ......then atakua na allerge hata kusikia harufu ya pombe......

Huku Milimani nakowinda ndege ndio dawa yetu hiyo:

ulishawai kuifanyia majaribio au umesikia mkuu
 
soma vizuri ile post utagundua kuwa hamna link
Link ipo sasa sijui watumia simu ya aina gani? Upo mkoa gani? Maana kuna mama yupo Wilaya ya Kongwa Dodoma ukitoka Kibaigwa kituo utakachoshuka kinaitwa Narco barabara ya kuelekea Kiteto then unashuka kituo cha kwanza ambapo panaitwa Chamae then muulizie mama anaitwa Mama Rashidi kwani watu mbalimbali amewasaidia sana,kwa maelezo mengne nipm then weka namba ya simu ntakupgia
 


Vp mama rashidi bhana dawa ya kuachisha mtu bangi?
 
Nipe japo kwa kifupi muongozo wa namna ya kumpa ushauri kama dawaa hakuna mkuu

Ushauri mara nyingi hulenga faida na hasara za tabia, je ulevi wake una faida (ni zipi), una hasara (ni zipi)...haipo faida ya ulevi kijamii katika ngazi ya familia, je ulevi wake unaisaidia familia? Unainua uchumi wake? Ulevi wake unajenga ndoa yake? Unasaidia watoto kwenda shule? Ulevi wake unainua utendaji wake wa kazi zake za ofisini,biashara au kilimo, unaleta mahusiano kati yake na mke wake,majirani na ndg?...imani au dini yake inasemaje juu ya unywaji wa pombe? Je kulala mtaloni kwa ajili ya pombe ni afya, huoni hata heshima yake na ya familia yake inashuka...haya yote ashauriwe nayo na ayajue katika hatua zake za kuachana na pombe
 
wana jamvi naomba kujuzwa madhara ya kuacha pombe ghafla kama ulikua mnywaji wa kila siku .... je unaweza kudhurika???
 
wana jamvi naomba kujuzwa madhara ya kuacha pombe ghafla kama ulikua mnywaji wa kila siku .... je unaweza kudhurika???
yeah,unaweza kudhurika bora uanze kupunguza na sio kuacha ghafla,hiyo ni kama ulifikia stage ya kuwa unatetemeka mikono kama hujazimua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…