Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Jambo la kwanza ni kuacha kunywa pombe jaribu kuchunguza chanzo kilichokufanya uanze kunywa pombe?Tafuta suluhisho kama kuna sababu zilosababisha uwe mlevi.
Dawa zipo mojawapo ni NALTREXON au ACAMPROSATE hizi dawa zinakupunguzia hitaji na abstinence symptoms za alcohol.
DISULFIRAM ni chaguo jingine.
Soma linki nimekuwekea hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/465792-dawa-ya-kuacha-pombe.html
mbona siioni mkuu