Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.

Kabla ya kutaka kumuachisha ulevi jiulize mambo yafuatayo...

1;Je ameanza ulevi kabla hamjaoana?
2;Je ameanza ulevi baada ya kuoana?

Kama jibu ni namba moja basi utakuwa ulikubaliana nae na sasa unataka kukimbia kivuli chako
Kama namba mbili ni jibu sahihi mkalishe chini umuulize kama ana matatizo kazini au mahali popote kwenye shughuli zake,kagua kama wewe na yeye mnamawasiliano ya kuridhisha maana miongoni mwa hayo kunaweza kuwa kuna tatizo,mara nyingi wengi wanapopata matatizo kazini,kwenye ndoa au mambo mengine yanayofanana na hayo hukimbilia kwenye ulevi wakidhani ni dawa kumbe wanajimaliza zaidi....

Note:
Kuacha tabia yoyote ile ni mtu mwenyewe na huwa halazimishwi au kuachishwa,unachopaswa kufanya ni kumshauri aache na sio kumlazimisha aache....

Pole na usijali hayo ni ya kawaida tu ......!!
 
kumbe unaijua? Niiiiiiinaaaa, sasa mbona ww hujajikamulia ili uache?

Ila pombe bonge la kitu

niache ili iweje,,,,,niishije???nanywa sikeri watu kama wewe jambaziii...nenda jlw kuna ujumbe wako
 
Yanini kuumiza kichwa kama hataki mwache,
ila nawe usikute unakunywa wine then yeye asinywe,
Sbb wadada wa cku hiz hamuaminik?
 
Habari wanajamvi.

Kwa muda mrefu nimekua nikichangia threads katika majukwaa tofauti humu ndani, lakini leo najitokeza kuomba ushauri wenu hata suluhu ikibidi.

Ninaye ndugu yangu ambaye amekua akitumia pombe kwa muda mrefu hali ambayo imepelekea hali yake kiuchumi kudumaa pamoja na kwamba ameanza biashara muda mrefu, hali yake kiafya pia imekua ikisuasua..

Kama familia tumejitahidi kusema nae ili aachane na pombe au upunguze unywaji maana unywaji wake sio ule ufaao pamoja na kwamba pombe watu wengi wanatumia. Pia kuna mambo mengi ameyafanya ya kufedhehesha ambayo chanzo ni Pombe hali ambayo inatusononesha kama familia.

Hivyo nimejitokeza humu kuomba namna nzuri ambayo inaweza kumsaidia huyu ndugu yangu ambaye ni Mtanzania mwenzetu na mpiga kura pia,ikiwa kama una njia unaifahamu ambayo haitomdhuru kwa kuwa bado tunamhitaji NAKUOMBA unisaidie.

Nimeamua kuandika humu nikiamini suluhu itapatikana kwani watu wa aina yake wapo wengi katika jamii zetu.
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Awe tayari kuacha pombe. Kama hajagundua kuwa unywaji wake wa pombe ni hatari kwake na kwa jamii yake,huwezi kumsaidia.
 
Amshirikishe Mungu na Azingatie maamuzi anayotaka kuyafikia kwanza, ndio jambo la msingi kuliko.
 
Dawa ya kuacha kunywa pombe Tafuta Mama anaye nyonyesha mtoto akutlia kidogo maziwa yake kwenye pombe yako wewe bila ya kujuwa ukinywa tu ndio itakuwa mwanzo wa mwisho hutokunywa kabisa.
 
Dawa ya kuacha kunywa pombe Tafuta Mama anaye nyonyesha mtoto akutlia kidogo maziwa yake kwenye pombe yako wewe bila ya kujuwa ukinywa tu ndio itakuwa mwanzo wa mwisho hutokunywa kabisa.

mkuu ungefafanua kidogo je kuna nini kitatokea mpaka aache pombe...mi mwenyewe nina ndugu yangu mlevi ananifadhaisha sana..tafandali saidia hapo.
 
mkuu ungefafanua kidogo je kuna nini kitatokea mpaka aache pombe...mi mwenyewe nina ndugu yangu mlevi ananifadhaisha sana..tafandali saidia hapo.
Wewe mtafute mama anaye nyonyesha amtilie maziwa yake vitone 5 vya maziwa yake kwenye pombe akinywa tu hiyo pombe ataacha mwenyewe kunywa. Dawa ingine ya Mtu kucha kunywa pombe chukua kinywaji unacho kunywa mfano pombe yoyote ifunguwe kisha chukua maziwa ya kondoo weka matone matano kwenye kile kilevi kisha kunywa hutorudia tena Mkuu.@ISLETSTumia kisha uje unipe Mrejesho wako.
 

asante mkuu.... hii elimu mpya kwangu...
asante sana..
 
Dawa zipo hata za hosp ila madhara yake atatapika sana kiasi kwamba anaweza kuishiwa nguvu ikawa kesi nyingine!hazishauriwi kutumika km anayempa hajui jinsi ya kumuhudumia huyo mtu baada ya kumpa hiyo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…