Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hawezi kukudhuru ukiwa unataka dawa huwezi kabisa kufikiria mambo hayo unayoyafikiria wewe kwanza hao wadudu HIV wakiingia kwenye pombe watasalimika? Au au mkuu unapenda kuuliza maswali tu? Matone ya maziwa ukiyatia ndani ya Glasi ya Pombe je hao wadudu wa HIV? watakuwa bado wazima? mkuu Super Handsome Ukitaka kuuliza swali fikiria hilo swali unalo uliza mara2 kisha ndio ulilete hapa kwenye Thread sio kila unachofikiria ndio unacho kileta hapa utakuwa umekosea. Nenda kasome au kawaulize waliokuzidi kielimu watakujibu.Nitaamini VP maziwa ya huyo mama kama yapo salama, what if akiwa no HIV+?
Ndio unajifunza hapa Elimu ni kubwa na kokote kule unaweza kuipata ukiwa mtu sio mbishi.asante mkuu.... hii elimu mpya kwangu...
asante sana..
Hawezi kukudhuru ukiwa unataka dawa huwezi kabisa kufikiria mambo hayo unayoyafikiria wewe kwanza hao wadudu HIV wakiingia kwenye pombe watasalimika? Au au mkuu unapenda kuuliza maswali tu? Matone ya maziwa ukiyatia ndani ya Glasi ya Pombe je hao wadudu wa HIV? watakuwa bado wazima? mkuu Super Handsome Ukitaka kuuliza swali fikiria hilo swali unalo uliza mara2 kisha ndio ulilete hapa kwenye Thread sio kila unachofikiria ndio unacho kileta hapa utakuwa umekosea. Nenda kasome au kawaulize waliokuzidi kielimu watakujibu.
Nitaamini VP maziwa ya huyo mama kama yapo salama, what if akiwa no HIV+?
Virusi vya Ukimwi Vitaweza kivipi kuokoka kwenye pombe? Haviwezi kabisa kuokoka hivyo Virusi vya Ukimwi kwenye pombe Mkuu Super Handsome Mimi ninatibu huo ugonjwa wa Ukimwi aka HIV , Ugonjwa wa Pumu, ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo Ugonjwa wa Hepatitis B Virus, Ugonjwa wa Saratani ya aina yoyote ile Ugonjwa wa UTI Sugu, Ugonjwa wa TB, Ugoınjwa wa Kisukari, Maradhi ya Presha BP, Ugonjwa wa uvimbe kwenye mfuko wa Uzazi Fibroid,Nguvu za kiume na Maradhi ya Bawasiri ukihitaji huduma zangu za Matibabu bonyeza hapa.MawasilianoAcha kupanic, nieleweshe! Kwahiyo virus vya ukimwi havi survive kwenye pombe?
Nitaamini VP maziwa ya huyo mama kama yapo salama, what if akiwa no HIV+?
Nitaamini VP maziwa ya huyo mama kama yapo salama, what if akiwa no HIV+?
Nitaamini VP maziwa ya huyo mama kama yapo salama, what if akiwa no HIV+?
Pombe huwezi kuacha kwa kujadiliana na mtu wala hakuna dawa ya namna hiyo.
Ni wewe tu kuamka na kusema sasa basi, yatosha. Inawezekana kabisa maana hukuzaliwa nayo hiyo wala hutakufa sababu umeacha pombe. Hivyo pombe waachie kina namanyele tu.
Kama mkeo ananyonyesha mwambie akamulie maziwa yake kwenye gilasi ya pombe unayopendelea kunywa ' then kunywa huo mchanganyiko .ni dawa tosha hutakunywa pombe milele