Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kuna jamaa ni mshikaji wangu wa mtaa mmoja yaani wale wa kukua wote. Akasoma ila kazi hakupata ( sasa ndo nimejua ni pombe ) . Tulipotezana kama 12 years, sasa juzi ijumaa tukakutana ile anafika bia ya pili nikaona jamaa anamuinua huyoo wakaondoka, baada ya muda jamaa ( yule aliyemsindikiza) akarudi peke yake tukaendelea sikuuliza kitu.

Kesho yake jmosi nikamtafuta jamaa mida ya mchana kupiga story za hapa na pale na moja moja. Bia ya tatu hoi kufika ya nne anaongea kichina. Mara kutapika kupepesuka na kuongea ovyo. Ofcourse nili-mind nikamuacha.

Sasa Jana ndo napewa story jamaa ni addict wa alcohol na hata mke Baba yake ilibidi alazimishe jamaa aoe. Na kazi hakuwahi kupata sababu ya ulevi na akirudi nyumbani anaweza kulala nje hadi morning.

Addict huyu akigonga chupa tatu tu, damu ishazoea basi anawaka mbaya.

Sasa mkuu mleta mada nimechangia hiyo story ujue mbele itakuaje. Jaribu kupunguza taratibu kama ilikuwa unapiga kumi ishia tatu na utaweza tu pale utakapoenda baa ambayo hujulikani na pesa ya bia tatu tu ili ikiisha uondoke. Ukienda baa unayojulikana utakopa.

Pombe ni nzuri uki-control kidogo ila ikizidi unajuta kuifahamu.
 
Mimi nilikua kama wewe ila nimepunguza sana kwa njia ifuatayo.
Nilichukua mkopo mref benki nikawa na makato ya laki 5 kwa mwez, benki inaingia laki 2 tu ambayo inabid nibakize laki kwajili ya chakula na laki kwajili ya dharura. Haipatikani ya kunywa.

2. Baada ya kuchukua mkopo wa milioni 8 nikajitaid kusimamisha ka kibanda changu cha rum 3 had kwenye lenta. Nikichukua kwa trip yapili namaliza kabisa.

Note. Ukichukua mkopo mrefu Fanya kitu cha msingi kisha kaa utulie.makato makubwa yatakupa nidham ya pesa hutakua nayakunywa
 
Dogo unaweza sana ku control. Watu tumeanza kitambo na tunaenda nayo mdogomdogo. Tatizo company gani unayo na kutaka kuonyesha mbwembwe. Si unajiona handsome??? Sasa nikwambie nenda bar pke yako uwe na elf 10 tu kwa mfuko unywe bia zako 3 au 4 taratiiibu... Then muda utakuwa umeenda enda unarud hom. Hakikisha hata km bado unasikia kiu usiagize RUDI NYUMBANI. Fanya hivo walau mara 2 kwa wiki. Sasa angalia ni rafiki gan unaeweza kupeana company. Acha kutoka usiku. Acha kujiendekeza dogo. Huna pepo ni tabia ambayo unapaswa kuiacha kwa NGUVU. Dhamiria kwa nia kabisa kwa kuwa wewe ndo muhusika usianze kwa kutegemea eti watu wengine wakusaidie mf kuombewa. Kaa ndani kwako sali. Km mkristo chukua bible soma ukisikia usingizi lala. UKIAMUA UTAWEZA NA UTAZIDI KUWA HANDSOME kwa umri wako haujachelewa utapata mke na beautiful family. May God be with you
Huyu hujamuelewa
Hata akienda na ten
Ikiisha
Atakopa!
 
Ndo tatizo la vijana wa kibongo,mtu huna hata bajaji,nyumba,wala banda tu la kuku umehamishia kwe pombe! Alaf mwisho wa siku unatafuta mchawi oh nimerogwa mbona pesa hazikai! Mara lile loh.ndugu kama ulivyoanza kunywa na ndivyo uache kunywa.ukiona unashindwa tafuta mchuchu mmoja decent mwenye kujitambua na kujielewa mueleze shida yako kama utakubalika moyoni mwake mueleze tatzo lako naye atakusaidia.
Mchuchu ni wewe?sasa si utangaze nia umsaidie? ya nini kuzunguka mbuyu?
 
Kuna jamaa ni mshikaji wangu wa mtaa mmoja yaani wale wa kukua wote. Akasoma ila kazi hakupata ( sasa ndo nimejua ni pombe ) . Tulipotezana kama 12 years, sasa juzi ijumaa tukakutana ile anafika bia ya pili nikaona jamaa anamuinua huyoo wakaondoka, baada ya muda jamaa ( yule aliyemsindikiza) akarudi peke yake tukaendelea sikuuliza kitu.

Kesho yake jmosi nikamtafuta jamaa mida ya mchana kupiga story za hapa na pale na moja moja. Bia ya tatu hoi kufika ya nne anaongea kichina. Mara kutapika kupepesuka na kuongea ovyo. Ofcourse nili-mind nikamuacha.

Sasa Jana ndo napewa story jamaa ni addict wa alcohol na hata mke Baba yake ilibidi alazimishe jamaa aoe. Na kazi hakuwahi kupata sababu ya ulevi na akirudi nyumbani anaweza kulala nje hadi morning.

Addict huyu akigonga chupa tatu tu, damu ishazoea basi anawaka mbaya.

Sasa mkuu mleta mada nimechangia hiyo story ujue mbele itakuaje. Jaribu kupunguza taratibu kama ilikuwa unapiga kumi ishia tatu na utaweza tu pale utakapoenda baa ambayo hujulikani na pesa ya bia tatu tu ili ikiisha uondoke. Ukienda baa unayojulikana utakopa.

Pombe ni nzuri uki-control kidogo ila ikizidi unajuta kuifahamu.
duh!. ila huyu siyo addict bali pombe haimpendi. addict hawezi lewa pombe tatu.
 
Sometimes watu mnakesha sababu ya kutafta mapenzi ya kuuzwa na sio bia
Mkuu sio mnunuzi mimi, kama huwani let's connect each other... Get to know me then you ll come to a conclusion that am very different person... Ni hii kitu tu inayoharibu penzi. Hakuna lady atakae kuwa tayari unarud night kali. Naenda alone kwenye pubs, narud alone.
 
vipi akikuchagua wewe umsaidie hilo tatizo??

au wewe sio decent na hujitambui??

Ndo tatizo la vijana wa kibongo,mtu huna hata bajaji,nyumba,wala banda tu la kuku umehamishia kwe pombe! Alaf mwisho wa siku unatafuta mchawi oh nimerogwa mbona pesa hazikai! Mara lile loh.ndugu kama ulivyoanza kunywa na ndivyo uache kunywa.ukiona unashindwa tafuta mchuchu mmoja decent mwenye kujitambua na kujielewa mueleze shida yako kama utakubalika moyoni mwake mueleze tatzo lako naye atakusaidia.
 
unatakiwa kwenda kwenye makanisa ya wokovu, zungumza na pastor the whole story, sometimes ni evil forces destined to destroy your destiny..
After PRAYERS you will see changes, This is real!!
Paulo anasema ninachotamani kukitenda sikitendi, ila nisichotamani kukitenda ndio nakitenda, that is external forces
Huko si mshauri bora aendelee kunywa tu, unataka kumpa matatizo mengine!
 
mkuu kufa kufaana bhana mwache mwenzio amtumie hela amtumie kitabu kwa basi
Mkuu anaweza kusema yupo Wapi, na connection nchi nzima. Naweza nika mu assign ampe mtu, au atage jina nita download au kununua bookshop. Tusiwe watumwa wa pesa Aneth Joseph, hujui unaemsaidia akiwa na problem Mungu atakupa vingapi....
Wakati mwingine kufa kuumizana mark my words.
 
Pombeeeeeeeee.......afadhali upende pombe kuliko upende ngono
 
unatakiwa kwenda kwenye makanisa ya wokovu, zungumza na pastor the whole story, sometimes ni evil forces destined to destroy your destiny..
After PRAYERS you will see changes, This is real!!
Paulo anasema ninachotamani kukitenda sikitendi, ila nisichotamani kukitenda ndio nakitenda, that is external forces
uongo huu
 
Back
Top Bottom