nipo Mbeya .Mkuu unapatikana upande gani wa nchi......
Huyu hujamuelewaDogo unaweza sana ku control. Watu tumeanza kitambo na tunaenda nayo mdogomdogo. Tatizo company gani unayo na kutaka kuonyesha mbwembwe. Si unajiona handsome??? Sasa nikwambie nenda bar pke yako uwe na elf 10 tu kwa mfuko unywe bia zako 3 au 4 taratiiibu... Then muda utakuwa umeenda enda unarud hom. Hakikisha hata km bado unasikia kiu usiagize RUDI NYUMBANI. Fanya hivo walau mara 2 kwa wiki. Sasa angalia ni rafiki gan unaeweza kupeana company. Acha kutoka usiku. Acha kujiendekeza dogo. Huna pepo ni tabia ambayo unapaswa kuiacha kwa NGUVU. Dhamiria kwa nia kabisa kwa kuwa wewe ndo muhusika usianze kwa kutegemea eti watu wengine wakusaidie mf kuombewa. Kaa ndani kwako sali. Km mkristo chukua bible soma ukisikia usingizi lala. UKIAMUA UTAWEZA NA UTAZIDI KUWA HANDSOME kwa umri wako haujachelewa utapata mke na beautiful family. May God be with you
hakijasambazwa. usambazaji vitabu bongo ni mgumu sana.Si umtajie tuu jina la iko kitabu ili akinunue huku huku! Au na wewe unataka kutokea kwenye matatizo ya wengine?
sorry kama imekuudhi mkuu. sema niliipenda na sikuona sababu ya kujivunga kuitumiamkuu, kwani hauwezi badili hii avatar yako kaka yangu??? mimi binafsi naona haijakaa poa hata kidogo. samahani sana lakini!!!!!
Mchuchu ni wewe?sasa si utangaze nia umsaidie? ya nini kuzunguka mbuyu?Ndo tatizo la vijana wa kibongo,mtu huna hata bajaji,nyumba,wala banda tu la kuku umehamishia kwe pombe! Alaf mwisho wa siku unatafuta mchawi oh nimerogwa mbona pesa hazikai! Mara lile loh.ndugu kama ulivyoanza kunywa na ndivyo uache kunywa.ukiona unashindwa tafuta mchuchu mmoja decent mwenye kujitambua na kujielewa mueleze shida yako kama utakubalika moyoni mwake mueleze tatzo lako naye atakusaidia.
Naona Ndovu bariiidUsifikiri ni rahisi kiasi hicho. Mimi binafsi namuelewa.
duh!. ila huyu siyo addict bali pombe haimpendi. addict hawezi lewa pombe tatu.Kuna jamaa ni mshikaji wangu wa mtaa mmoja yaani wale wa kukua wote. Akasoma ila kazi hakupata ( sasa ndo nimejua ni pombe ) . Tulipotezana kama 12 years, sasa juzi ijumaa tukakutana ile anafika bia ya pili nikaona jamaa anamuinua huyoo wakaondoka, baada ya muda jamaa ( yule aliyemsindikiza) akarudi peke yake tukaendelea sikuuliza kitu.
Kesho yake jmosi nikamtafuta jamaa mida ya mchana kupiga story za hapa na pale na moja moja. Bia ya tatu hoi kufika ya nne anaongea kichina. Mara kutapika kupepesuka na kuongea ovyo. Ofcourse nili-mind nikamuacha.
Sasa Jana ndo napewa story jamaa ni addict wa alcohol na hata mke Baba yake ilibidi alazimishe jamaa aoe. Na kazi hakuwahi kupata sababu ya ulevi na akirudi nyumbani anaweza kulala nje hadi morning.
Addict huyu akigonga chupa tatu tu, damu ishazoea basi anawaka mbaya.
Sasa mkuu mleta mada nimechangia hiyo story ujue mbele itakuaje. Jaribu kupunguza taratibu kama ilikuwa unapiga kumi ishia tatu na utaweza tu pale utakapoenda baa ambayo hujulikani na pesa ya bia tatu tu ili ikiisha uondoke. Ukienda baa unayojulikana utakopa.
Pombe ni nzuri uki-control kidogo ila ikizidi unajuta kuifahamu.
Thanks Mkuukwakutambua tatizo ni hatua moja kubwa sana umeifanya sasa unahitaji nguvu ya kufanya maamuzi natumaini utashinda.
Mkuu sio mnunuzi mimi, kama huwani let's connect each other... Get to know me then you ll come to a conclusion that am very different person... Ni hii kitu tu inayoharibu penzi. Hakuna lady atakae kuwa tayari unarud night kali. Naenda alone kwenye pubs, narud alone.Sometimes watu mnakesha sababu ya kutafta mapenzi ya kuuzwa na sio bia
Ndo tatizo la vijana wa kibongo,mtu huna hata bajaji,nyumba,wala banda tu la kuku umehamishia kwe pombe! Alaf mwisho wa siku unatafuta mchawi oh nimerogwa mbona pesa hazikai! Mara lile loh.ndugu kama ulivyoanza kunywa na ndivyo uache kunywa.ukiona unashindwa tafuta mchuchu mmoja decent mwenye kujitambua na kujielewa mueleze shida yako kama utakubalika moyoni mwake mueleze tatzo lako naye atakusaidia.
Huko si mshauri bora aendelee kunywa tu, unataka kumpa matatizo mengine!unatakiwa kwenda kwenye makanisa ya wokovu, zungumza na pastor the whole story, sometimes ni evil forces destined to destroy your destiny..
After PRAYERS you will see changes, This is real!!
Paulo anasema ninachotamani kukitenda sikitendi, ila nisichotamani kukitenda ndio nakitenda, that is external forces
utahitaji nikutumie mkuu?Mkuu unapatikana upande gani wa nchi......
asante sana mkuusorry kama imekuudhi mkuu. sema niliipenda na sikuona sababu ya kujivunga kuitumia
Mkuu anaweza kusema yupo Wapi, na connection nchi nzima. Naweza nika mu assign ampe mtu, au atage jina nita download au kununua bookshop. Tusiwe watumwa wa pesa Aneth Joseph, hujui unaemsaidia akiwa na problem Mungu atakupa vingapi....mkuu kufa kufaana bhana mwache mwenzio amtumie hela amtumie kitabu kwa basi
Big No, hatujuani japo nilishawahi kukutana kwenye mipango ya mwanzoni ya Lowasa... Cruise Inn Mikocheni.Mna undugu na Le Akili Kubwazz?
uongo huuunatakiwa kwenda kwenye makanisa ya wokovu, zungumza na pastor the whole story, sometimes ni evil forces destined to destroy your destiny..
After PRAYERS you will see changes, This is real!!
Paulo anasema ninachotamani kukitenda sikitendi, ila nisichotamani kukitenda ndio nakitenda, that is external forces