Siri ya ofisi mkuu hii ni alimasi siwezi kupaNina hamu uoneshe ni jinsi gani na kila dawa ina viambata gani ambavyo vitaenda kumfanya mtu aache uraibu wa kitu husika.
Mfano nini kitaenda kuvunja arosto kwa mvuta sigara, bangi na mnywa pombe.
Aaah wapiUmenena vema,,,vyote ni rahis sana kuacha ikiwa tu utaamua,njia pekee ya kufanya au kutofanya chochote ni kuamua peke yako. Kua sitak tens na kuanzia Leo naacha na uamue kwel kwel
Baadae simu yako itakuwa haipatokani. Ukipata watu elfu1 mtaji tayari. Mbunifu sana wewe.Siri ya ofisi mkuu hii ni alimasi siwezi kupa
Mkuu sijafanya ujanja janja.ndo sbb nataka mwenye mawasiliano au anayeweza kunikutanisha na chidbenzi anikutanisheBaadae simu yako itakuwa haipatokani. Ukipata watu elfu1 mtaji tayari. Mbunifu sana wewe.
Kwa usawa huu wa magu lazima akili izunguke sana.
Nenda kwenye media yoyote bongo utakutanishwa nae rahisi tu!Natafuta mawasiliano yake na ya wasanii wengine ukipata nayaomba
NdioUnaweza kusubili ndan ya dk kumi baada ya kutumia dawa ndo ulipwe
Ni maelewano mkuu*UNAIUZAJE? AU BEI GANI?
>>SEREKALI IINUNUE ILI KUPONESHA MATEJA YOTE...
Ntawaomba kama watakuwa tayariWagonjwa mkipona mlete feedback.ili namie nichukue dawa....
Mmhh TBS pia hautawaonesha viambata ili wajue kama ni salama kwa afya ya binadamu?Siri ya ofisi mkuu hii ni alimasi siwezi kupa
Mara mia mkuu[emoji6]Mkuu babu ilikuwa 500 Mimi ni 50000 Mara kumi yake
Upo mko gan nduguSawa ntakupigia saa tatu flani