mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Siri ya ofisi mkuu hii ni alimasi siwezi kupaNina hamu uoneshe ni jinsi gani na kila dawa ina viambata gani ambavyo vitaenda kumfanya mtu aache uraibu wa kitu husika.
Mfano nini kitaenda kuvunja arosto kwa mvuta sigara, bangi na mnywa pombe.