mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
0653551607Na me nahitaji nielekeze wapatikana wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0653551607Na me nahitaji nielekeze wapatikana wapi
Naona umeamua kuweka tigo yako wazi hapa Jf, sorry au ni airtel hii?0653551607
Tena ndoto ya mchanaMkuu sikubaliani nawe. Kuacha pombe kwa hiari ni NDOTO.
Silazimishi mkuu wanguhapa pana ka harufu ka uongo
Kuwa mpole niletee mgonjwaKwani mtu akivuta sigara anaumwa kiasi cha kwamba ndani ya dakika kumi ajione mzima?
Mkuu pombe is a physiological problem sio pscycological problem. Ndio maana nasema kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.
Dawa ya kuacha pombe ipo...nimeshawahi kushuhudia walevi sugu wakiponeshwa ugonjwa huo.
Haipatikani mkuuYa chidbenz hiyo hapo~0753941236
Naacha bangi ili iweje kwa mfano
Mpigie saa12 asubuhi. Sasa hv anatokwa udenda cm amefunga. Lakini jalibu na hii pia 0673234566. Utaongea nae au mjomba wakeHaipatikani mkuu
Mkuu babu ilikuwa 500 Mimi ni 50000 Mara kumi yake
Mkuu tafadhaliAcha Utapeli Katafute Wa Kupiga Hela Hapa Umepotea
Mtu akivuta sigara ndo mgonjwa au unamaanisha nini?Kuwa mpole niletee mgonjwa
Hapa umenena mkuu! Mi huwa hata nawashangaa wachungaji wanaotangaza uponyaji kila mara, Muhimbili hawakujui au wanazuiliwa?Anza na Chid benz hapo utapigiwa promo bure
Usijikatishe tamaa mkuu...jaribu hiyo njiaKuacha pombe kwa hiari ni ndoto mkuu.