Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Hiyo dawa unakua unaitumia KILA hamu ya pombe inapokuja? au unameza mara moja (au kwa siku kadhaa as prescribed by the Mganga) then automatically unaacha pombe once and for all? sio ubishi mkuu, tunajifunza tu hapa.

Harafu kunywa Pombe sio ugonjwa ujue.
Mkuu unakunywa dawa mara moja na kuacha pombe kabisa....wala hutamani hata kuona chupa ya bia. Mm mwanzoni nilidhani ni utani nikaja kushuhudia kwa ndugu zangu 3 waliokunywa hiyo dawa na kuacha kutumia kilevi hicho mpaka leo.
 
Mpigie saa12 asubuhi. Sasa hv anatokwa udenda cm amefunga. Lakini jalibu na hii pia 0673234566. Utaongea nae au mjomba wake
Kuwa serious basi mkuu no hazipatikani
 
nimevuta ganja kwa miaka 12 mpaka sasa....kuacha nina mpango huo.....lakini siwezi kutumia dawa yako kwani kipindi naanza nilitumia dawa....kuacha uraibu wa kilevi chochote ni maamuzi binafsi...mmejaa ulaghai dawa ya nini....mkiona hali ngumu mnabuni utapeli wa kijanja ....acheni utapeli
 
Hali ni mbaya sana kiasi ambacho ni ngumu kutofautisha kati ulya mtu mkweli na mtu aliyepigwa na maisha anaamua kutafuta mtaji kwa njia hii..Anyway we hutumii kilevi nikulipie kadhaa hapa?
 
Kuwa serious basi mkuu no hazipatikani
Kweli wewe ni bonge la tapeli mamamamamamae. Nimekupa number yangu ambayo ipo on unasema haipatikani. Acha janja janja ya kuwaibia watanzania
 
Kweli wewe ni bonge la tapeli mamamamamamae. Nimekupa number yangu ambayo ipo on unasema haipatikani. Acha janja janja ya kuwaibia watanzania
Usiniite hivyo mkuu tafadhali tueshimiane , Wakati unanipa no nilizipiga zote zikawa hazipatikani

Nafkiri hupaswi kuniita Tapeli najisikia vibaya mno kwasbb sijakulazimisha kununua, na hilo jaribu lako halina logic, bora ungeng'ang'ani niipige tena ukaona majibu yake ukayaleta hapa, lakini kuweka no. Huna hakika ila umeona simu iko on , unakurupuka na majibu kuwa mi ni Tapeli, mkuu umenionea mno
Ila sii neno
Nashukuru kwa kushiriki
 
Tunaokunywa Beer hatuhitaji dawa. Labda hao wanaokunywa POMBE. Wape hao.
 
Mkuu unakunywa dawa mara moja na kuacha pombe kabisa....wala hutamani hata kuona chupa ya bia

Mmmmh hiyo ''dawa'' ni kiboko . Nimekuwa nagonga monde for 20 consecutive years. Then nikiinywa tu hiyo dawa after mere 10 minutes nachukia pombe kabisaaa na hata chupa ya bia sitaki kuiona, let alone kuonja kidogo??

Hili litakuwa ajabu la nane la Dunia!
 
Mmmmh hiyo ''dawa'' ni kiboko . Nimekuwa nagonga monde for 20 consecutive years. Then nikiinywa tu hiyo dawa after mere 10 minutes nachukia pombe kabisaaa na hata chupa ya bia sitaki kuiona, let alone kuonja kidogo??

Hili litakuwa ajabu la nane la Dunia!
Adi mchana huu nimetumia Wateja 6 waliosoma huu Uzi ntawaomba warudishe feedback
Na najua nnachofanya, kabla ya kuja huku nshaitoa sana
 
Back
Top Bottom