Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakuwa nashauza sanaHiyo ni sawa na china walipokuwa wanataraji kutengeneza pikipiki inayotumia maji wakati urabuni wanaishi kuishi kupitia mafuta
Nina hamu uoneshe ni jinsi gani na kila dawa ina viambata gani ambavyo vitaenda kumfanya mtu aache uraibu wa kitu husika.
Mfano nini kitaenda kuvunja arosto kwa mvuta sigara, bangi na mnywa pombe.
Mkuu no nilizoweka ni zangu na MTU akinipigia nampa namba ya pili siwezi Fanya uhuni na kujianika wote niliowasaliana nao nawaambia kazi yangu na nilipo kama ana ndugu anakubali na wengine wananijua. Huna shida, MTU akiumwa wala haulizi mkuuSwali zuri mkuu! Kwa mwenye akili timamu huwezi kumwambia eti dawa ya kuondoa Arosto kwa dakika kumi! Tena inaonyesha Ni dawa aina 4 tofauti Ila zote zina jibu ndani ya dakika kumi! Ghaaa!! Hivi wa tzee ndio wanadanganyika kirahisi hivyo??
Kuna mtu nimemwambia ingekuwa ni uongo ningefungua akaunt mpya hii account ninayo na ndiyo naendelea kutangazia dawa yangu, na ukinipigia nakupa address yanguMkuu haya uyanenayo ni ya kweli au changa la macho
Wengi wa wanaosema sana hapa siyo wanunuaji kwasababu hawajakamatika vilivyoVipi inatibu pia kuacha punyeto na kuacha kubet??? [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naomba MTU unayemfahamu nimshughulikie punguza madongoFursa
Tuwasiliane mkuu wanguWalevi wa bia na konyagi tuko wengi mkuu, leta dawa tunywe
Ya biaAiseee pango au kodi ya nini