Mkuu kwani unatumia vyote?Laki 2 kheee[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Inatokea kutapika mkuu kama ukikutana nayo /nacho hicho kilevi au ukilazimisha kutumia, haswa kwa mtu mwenye mwili dhaifuHautapiki wala kuhara maana mh
No nauliza nikianza Tiba haina matatizo kwamba niombe hata likizo?Inatokea kutapika mkuu kama ukikutana nayo /nacho hicho kilevi au ukilazimisha kutumia, haswa kwa mtu mwenye mwili dhaifu
Dawa ni maziwa.
Ni 50000 tu karibu
Lazma nikiona u ko wapi MI darNi 50000 tu karibu
....teh hee hee...bora hata mimi mara 100000000 nikilewa nabana meno haviingii zaidi;Umelewa mkuu
Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
UPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
Bado nawakaribisha wote mlioshindwa kucha
Dawa ipoooi
Zipi mkuu?Hizi ID mbili zina uhusiano gani?