Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0653551607[/
Nafikiri Wahenga walikua na akili za ziada.mara kumi ya 500 ni 50000?
mkuu huwezi mezea bia kwakua ndani ya dkk 10 ladha ya bia inapoteaDah... Hiyo dawa unaweza mezea bia? Unatumia kabla au baada ya kula monde? [emoji12] [emoji12]
wee fanya utani tu ila ndo wenzie wanapona hivyoooUgoro siwez kuacha aisee
Mi ntakuka wapikwahiyo viwanda vya sigara wakale wapi
ndo nini
Jinsi ya kuacha sigara na pombendo nini
kale polisi maana unakuja na mkakati wa kuuwa biashara za wenzio,kama vipi subiri watu waathirike na hizo kansa uje na tiba mbadala sasaMi ntakuka wapi
Mimi mwenyewe imebidi nishangae tuMtu uache bangi ili iweje?
Ha ha haaa hawajui wanachomissMimi mwenyewe imebidi nishangae tu