Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Naomba msaada kwa anaefaham dawa ya kuacha pombe
kuna jamaa alinipa hiki kitabu nimuuzie. kinaweza kukusaidia.


Kuna dawa nyingi ambazo hutumika kusaidia watu kuacha pombe. baadhi ya dawa hizo ni kama disulfiram, fluoxetine ambayo kwa kawaida ni dawa ya sonona(depression). Dawa zingine ni pamoja na ondasentron, acamprosate, setraline na topiramate. Katika dawa zote disulfiram ndio imetokea kuwa maarufu sana na ndio tutakayo izungumzia sana katika kitabu hiki.

Disulfiram ni dawa ambayo mtu akiitumia halafu akatumia pombe hupata madhara ambayo yatamfanya asitumie/asitamani pombe. ni kama vile kula yamini. Mtu anayetumia dawa hii huelezwa kwa undani madhara yatakayo mpata akitumia pombe. kwa kuogopa madhara mtu huyu hawezi kutumia pombe. toka mtu atumie dawa hii hatakiwi kutumia pombe hata kidogo ndani ya siku kumi na nne (wiki mbili) vinginevyo atapata madhara.

Pombe hata inayopatikana kwenye vipodozi vya kupaka na mouth washes (dawa za maji za kusafisha kinywa) inaweza kusababisha madhara makubwa. Uzuri ni kwamba madhara haya hayaui na huisha yenyewe japokuwa mtu anaweza hitaji uangalizi wa mtaalamu wa afya kumpunguzia madhara ayapatayo.
41
Madhara yanayoweza mpata mtu akitumia pombe na disulfiram ni kama yafuatayo. Kuvimba uso, maumivu makali ya kichwa, kupata tabu kupumua, kichefuchefu, kutapika sana, kutoka jasho kwa wingi, kiu kali, maumivu ya kifua, moyo kwenda mbio, kushindwa kuona vizuri na kuchanganyikiwa. Watu wenye magonjwa ya moyo na magonjwa ya akili hawapaswi kutumia disulfiram kwa sababu ina
 
upload_2017-1-20_12-48-24.png
 
Kuna mtu nimemwambia ingekuwa ni uongo ningefungua akaunt mpya hii account ninayo na ndiyo naendelea kutangazia dawa yangu, na ukinipigia nakupa address yangu
Na wewe pokea hill jibu
Sawa mkuu mi ntakutafuta maana kitengo cha bia kinanifilisi mnoo....
 
Pombe 50000
Sigara 50000
Madawa 50000
Bangi 50000 na kama ni
Vyote unajumlisha pesa
Laki 2 kheee[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
 
UPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
UPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
Hautapiki wala kuhara maana mh
 
Wandugu karibuni dawa
Sigara 1 sh.200 kwa siku sigara 5 ni 1000
Kwa mwezi ni 30000 au zaidi
Lakini
Mapafu yanachakaaa
Pombe
Bia 4 kwa siku ni 10000
Kwa mwezi 300000
Kwa mwaka ni zaidi ya 5000000 ukichanganya na ofa
Kuna bangi imeharibu maisha ya watu
Ata hiyo pombe, madawa yameharibu watoto kwa wakubwa,
Nitafutieni watu mnaowafahamu sugu
Ni DKK 10 tuuu
we unakunywa pombe...?
kama hunywi nioneshe hiyo 5Ml uliyosave kwa kutokunywa bieeree....
weee acha kabisa si kwa utamu ule, labda SBL na Tbl wafunge viwanda ndo ntaacha!!
haaa haaa
 
Back
Top Bottom