Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
nyongo ya kunguru pia ni dawa kwa kipimo maalumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
***Ni maelewano mkuu
kuna jamaa alinipa hiki kitabu nimuuzie. kinaweza kukusaidia.Naomba msaada kwa anaefaham dawa ya kuacha pombe
Nasisitiza na kuamini ukifikwa utakuja mweenyee***
ELFU 5000/- NAWEZA PATA?,NINA KAMGONJWA-ULEVI KAMOJA TU...
Sawa mkuu mi ntakutafuta maana kitengo cha bia kinanifilisi mnoo....Kuna mtu nimemwambia ingekuwa ni uongo ningefungua akaunt mpya hii account ninayo na ndiyo naendelea kutangazia dawa yangu, na ukinipigia nakupa address yangu
Na wewe pokea hill jibu
TangaUpo Wapi Kwan mkuu
kwa usawa huu wa magu, hata dawa za ukimwi zitapatikana tuu hakuna namna...tutaona mengi yakiibukaJamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
View attachment 461402
Pande zipi unapatikana0714415353
Sawa ntakupigia saa tatu flani
Pande zipi unapatikanaJamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
View attachment 461402
Laki 2 kheee[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]Pombe 50000
Sigara 50000
Madawa 50000
Bangi 50000 na kama ni
Vyote unajumlisha pesa
OyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeUPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
Hautapiki wala kuhara maana mhUPDATES
Nimekunywa kifuniko kimoja 10ml jana saa 3 usiku mara baada ya dk 10 - 15 kuanzia kinywa hadi kooni unapata mabadiliko yanayokufanya usitamani pombe, hali hiyo naipata hadi asubuhi hii. Ni dose ya siku 5, 10ml kila siku. Nitaendelea kuwapa mrejesho.
HahahaVipi dawa ya kuacha mambo yetu yale ipo? Natamani nibaki na mmoja tu🙁🙁
Mkuu kama una ndugu aliyeshindikana mnunulie
Umelewa mkuuIngekuwa kweli hata usingehitaji kujitangaza mwenyewe;habari zingeshatufikia!
...nikupe 150,000 hivi hivi kirahisi rahisi,hivyo hivyo na nguo zako au utavua?
Atuuzie elfu kumi si laki nanusu khaaaWalevi wa bia na konyagi tuko wengi mkuu, leta dawa tunywe
we unakunywa pombe...?Wandugu karibuni dawa
Sigara 1 sh.200 kwa siku sigara 5 ni 1000
Kwa mwezi ni 30000 au zaidi
Lakini
Mapafu yanachakaaa
Pombe
Bia 4 kwa siku ni 10000
Kwa mwezi 300000
Kwa mwaka ni zaidi ya 5000000 ukichanganya na ofa
Kuna bangi imeharibu maisha ya watu
Ata hiyo pombe, madawa yameharibu watoto kwa wakubwa,
Nitafutieni watu mnaowafahamu sugu
Ni DKK 10 tuuu