Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Unywaji wa pombe na ulevi ni vitu virility tofauti kama vile Mbingu na Nchi
 
Pole sana Jombaa mimi nikiwa na 50,000 mfukoni nilikua naogopa kuingia bar. Yaani bila 100,000 siingii bar
 
Mkuu ukisema pombe inatia hasara nakushangaa sana nimejenga si chin ya nyumba tatu,na biashara kibao na usafiri upo ni akil tu yako na maisha yako unategemea kunywa pombe kwa laki tatu yako ya mshahara [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] so sad
Kaka uko sahihi na inaelekea umenielewa vyema. Kwa mfanya biashara kunywa pombe kwake kuna faida tofauti na waajiriwa. Sisi waajiriwa tunatumia kwasababu tunajua mwisho wa mwezi tutaingiza. Mfanyabiashara anakunywa akiwa na uhakika mambo yanaenda vizuri na huwezi kula mtaji
 
Hata kama hali ni ngumu weekend bila vi heineken sijisikii vizuri kabisa
Honey Faith naomba niseme nilikua kama wewe tena zaidi ya wewe, Nikitoka ofisini Brake ya kwanza Bar au Grocery, Mhudumu akiniona tu hakuna swali anakuja na Heineken Baridiiiiii. Weekend kuanzia ijumaa ndio naogea kabisa yaani kurudi nyumbani ni saa tisa kama sio saa kumi alfajiri.

Sometimes nikiona nimelewa sana naingia kwenye gari nalala huku gari nimefunga vioo vyote, nikiamka nimelowa mwili mzima Jasho, Najua hii ni hatari sana lakini nashukuru Mungu nipo hai na kwasasa nimejitambua

Kama kweli una uwezo wa ku control pombe na kunywa weekends kwa weekends ni jambo jema na unywaji wa aina hiyo ni burudani ya kutosha na inakuondolea stress kama zipo.

Lakini kama ndio unywaji wa daily kama mimi mpaka sometimes kazini unashindwa kwenda jua Pombe sio rafiki wa maisha yako
 

Unywaji wako ulivuka mipaka. Bora uliacha, lakini kwa sisi ambao tunakunywa bia 3 au mbili, wacha tujiachie
 
Unywaji wako ulivuka mipaka. Bora uliacha, lakini kwa sisi ambao tunakunywa bia 3 au mbili, wacha tujiachie

Kweli ndugu kama unaweza uka control pombe ni jambo jema. Binafsi nilikua nikikaa bar siondoki mpaka nilewe
 
aseee ni kweli kabisa..
nakua namzigo wa maana ila within three to four day nakua mweupe inabid niende tena tafuta jiwe, daaaaah
ngoja nirenew mkataba wangu na hawa jamaa wa SBL, [HASHTAG]#tusker[/HASHTAG] number one
 
Kulala bila kunywa pombe ni haramu na ni uvunjifu wa sheria ya nchi ya mwaka 1977 kifungu (23act) kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2004 ikimtaka mtu yeyote ambaye tayari ameshakuwa mnywaji ni kosa kisheria kulala bila kunywa pombe hata chupa moja tu unaikosesha serikali mapato vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Mtoa mada
Ww una hisa CRDB??
Ww una IQ kwa kusoma??
Nk
Maisha ni kuchagua na kichagua ni.kuamua
 
Kwa nini maji ya Kilimanjaro na coke.
 
Yaani namalizia ya nne ndio nakutana na huu uzi, waiter leta mbili...
Ntasoma comments nyingine kesho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…