Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Kwanini uliacha pombe Gorilla Zoo ?Habari wakuu..
nimefanikiwa kuacha pombe hapa karibuni lakini nimekua na tatizo la kutopata usingizi toka nilipoacha naombeni msaada nifanye nini kuondokana na hali hii