Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okoa roho yako waombee walevi wenzioTatizo nililonalo ni namna ya kuwakomboa wale waliokuwa walevi wenzangu, hawaafikiani bado kwamba hii kitu ni najisi toka enzi za Kristo Yesu na baadaye mtume Mohammad.
amina!! Jina la bwana litukuzwe!!jina la bwana Yesu litukuzwe...
furahaaaa mwenye mdhambi mmoja akitubu *2
na siku moja tutapaa kwenda nae mbinguni *2
kwilililililiiiii karibu katika utumishi wa bwana na hongera kumkataa shetani na dhambi zake zote..
biblia inasema mwana aliyepotea alivyorudi kwa baba baba alimkaribisha na kukumbatia amen ..
amina karibu kundiniamina!! Jina la bwana litukuzwe!!
Kiongozi, Hata mimi siku nilipopata habari hizi nilihamaki sana, lakini baada ya kutafakari sana na kupitia vifungu hivi kwa kina, hasa mstari wa 2 na 6, nikaguswa mno. Najiuliza mbona chakula cha harusini hakikutengenezwa kwa mazingira duni kama haya - Mabsalasi yalitumika tu kufikisha ujumbe.Yesu hakuwahi kuzungumzia mambo ya chooni bali ufalme wa mbinguni.
Acha upotoshaji kenge wewe.
Anyway ubarikiwe kwa kuacha pombe
Ndo shida ya dotcomKiongozi, Hata mimi siku nilipopata habari hizi nilihamaki sana, lakini baada ya kutafakari sana na kupitia vifungu hivi kwa kina, hasa mstari wa 2 na 6, nikaguswa mno. Najiuliza mbona chakula cha harusini hakikutengenezwa kwa mazingira duni kama haya - Mabsalasi yalitumika tu kufikisha ujumbe.
Hii ndio inayoitwa virobaphobia...vmeanza kuadimika mitaana watu wameanza kusema wanaacha pombeee...wakuu natafuta namna ya kuacha pombe km kuna mtu ameweza anipe mbinu,,nakunywa kuanzia ulanzi mpaka wine inshort sijachagui pombe kama ambavyo mwanajeshi achagui pori la kupigana vita.
mambo magumu mkuu inabid tutafute namna ya kuachaHii ndio inayoitwa virobaphobia...vmeanza kuadimika mitaana watu wameanza kusema wanaacha pombeee...
Huu Ndio Msaada wako? Bashite mpo wengi sana humuHii ndio inayoitwa virobaphobia...vmeanza kuadimika mitaana watu wameanza kusema wanaacha pombeee...
maskini mbavu zangu..........!! kie-kie-kie-kie!!!!Mbona unataka kujiingiza kwny matatizo mkuu