MANDINGO DUDUKUBWA
Member
- Sep 14, 2014
- 53
- 16
Hí post ni ya kitambo, but very inspiring, si vibaya nicomment ipande juu iwasaidie walev wenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya utaratibu uokoke na ujiunge na jamii ya waliokoka.Yesu atakuweka huru na yote yasiyofaa na utapata raha na amani milele.
Hakuna binu nyinine unayojua tofouti na hyo imani yako ya yesu.
Nasikia mkojo wa mkeo ule wa alfajiri ni tiba nzuri
dawa ya kuacha pombe ni kuikataa kutoka moyon basi...hata kuanzia sasa sema sintokunywa tenda mpaka ipite miaka 3
Kunywa kisha kaanguke njiani mtaani kwenye uchochoro alafu iwe usiku alafu utaacha pombe mwenyewe kesho yake.
pole sana kwa hilo,hakika mpk ulipo upo ktk hatua nzuri ya tiba,kwanza umeshatambua tatizo,pili umetamani kuacha,tatu unatamani kurudia meditation ya yoga,nne umejihisi huwezi kuacha pombw
soln:fanya maamuzi yafuatayo,anza kupunguza pombe taratibi from hero to zero,pili epuka mazingira na company zinazokupeleka kwenye pombe,tatu tenga muda wa meditation ya yoga taratib hata nusu saa kwa siku huku ukiendelea kuongeza muda mpk utakapoloea kabisa hakika utatoka zero to hero upande huu huku kule ukipotezea,kuwa tiyari fanya maamuzi sasa,maisha ni mipango na kupanga ni kuchagua kila la kheri mkuu